Chilli
JF-Expert Member
- Jul 17, 2011
- 1,655
- 746
Spika wa Bunge amesema kuwa baadhi ya wabunge wanaandaa hoja ya kuzuia vipindi vya Bunge kuonyeshwa LIVE kwa wananchi!
Ninavyochukulia: Huku ni kulewa Madaraka!...Wanataka wachape usingizi bila kuhojiwa na wapiga kura hawa!
CHANZO: Gazeti la Mtanzania leo 13/08/2012
Mkuu PakaJimmy,sio tu kulewa madaraka, hii ni dharau ya hali ya juu. Hivi wanayoyajadilli humo mjengoni ni ya nani? Kama ni sisi ndio tulowatuma basi waache upuuzi wao na kujadili bila kificho, lakini kama wanadhani walijipeleka wenyewe basi walete huoupuuzi wao halafu tutakutana kwenye boksi la kura 2015.
Mimi mwenyewe sipendi kuandamana lakini katika hili itabidi nimsapoti kimbunga. Kama noma na iwe noma bana.