Bunge Lisionyeshwe LIVE - Wabunge!

Bunge Lisionyeshwe LIVE - Wabunge!

Kama Wengekuwa na akili Nilitegemea wangejadili namna ya Kuboresha Muonekano, Pamoja na kununua Generator za vitongoji na TV ili wote ambao wanapata Tabu kuliona Bunge waweze Kuwezeshwa Kuona!! Ila wanajadili namna ya kuzuia!! What a shame is This!!!

Mwizi siku zote huwa hapendi kuonekana!!Ufisadi ni Wizi wa hali ya juu!!Magamba WIZI MTUPU!!
 
Wanadhani wao watakuwa wabunge mpaka kufa kwao? na wenyewe wakiwa huku nje kama sisi hawatataka kuona wawakilishi wao wanafanya nini mjengoni?
kama hawatajali basi wanatuonyesha ni jinsi gani hawapo responsible, au ni wale Liwalo na Liwe?
 
Wana JF,

Nadhani hawa wabunge wameisha poteza mwelekeo sasa na hawana fikra za kutuambia uwezo wao ndio umefika kikomo hapo. Kamwe haimuingiii akilini mwanadamu wakawaida, kweli Bunge lisionyeshwe live kulikoni watanzania wote wana jiuliza kwa hilo KULIKONI huko MJENGONI KUNANI????? MWAFICHA NINI?????? BUNGE LIMETOKANA NA SISI WAPIGA KURA KUWAPELEKA HAPO MJENGONI.

My Take;
Aliye toa hiyo Hoja ni Punguani au kale kamsemo ka Mwl.JK Nyerere kuwa " Umaskini mkubwa dunia ni Mtu kuwa na umaskinini wa akili ya kufikili"
 
Binafsi nawapongeza wale walioijiwa na fikra ya kuwasilisha hiyo HOJA. Ni ya msingi maana itaonyesha sura halisi ya mnaloliita BUNGE la Tanzania kumbe ni GENGE la WAPUUZI. BUNGE limekufa siku nyingi.
 
Yaani hiyo hoja ikipitishwa, Tanzania tutakuwa tumejiwekea tena record yetu wenyewe. Wakati wenzetu wanajitahidi kuweka kila kitu wazi sisi tunapiga gia za reverse! It can only happen in TZ!
 
Jamani labda wana hoja, tuvute subira tuone, my take..............
 
Mi naomba jina la aliyetoa wazo hilo, kama wanadhani sisi hatuwezi kuwapeleka kwenye ule MSITU wao, wathubutu, tutawapeleka tena mchana kweupe!

ili atakapowasilisha hoja yake tu azimie na hoja ife hapo hapo
 
Sidhani kama hayo maneno ya Spika Makinda ni kweli. Wasemaji wa wananchi hawataki wananchi waliowatuma waone wakiwawakilisha? Kwanini waligombea ubunge sasa?! Wawakilisha wa wananchi wanataka kuwawakilisha wananchi kwa usiri?!
 
hakika kabisa, hao uliotaja wanahusika moja kwa moja, na amini usiamini lazima ni wa ccm wote!
Hakika hoja hiyo ikifanyiwa kazi wananchi tunapaswa kuonyesha live kuwa hatukubali upopompo huo!...


ndugu zangu, na viongozi wa hii forum, tafadhalini nifahamisheni kama hii forum ni ya wanachama wa chama cha chadema tuu, na pia cha wakristo tuu, kwani i see to much attack muislami akileta hoja, utaona waisalumu wote wantukanwa, waitwa wapumbavu wasiokuwa na elimu nk. Pia utaona anything to do with ccm ni matusi yasio na msingi. I am a moderate supporter of chadema but i get disgusted with how we attack ccm or even chadema memberes/politician who disagree with mbowe or slaa. They are not the olny leaders in cdm, we have young turks like mnyika, lema, mdee, zitto nk.

Tuache maovu
 
Ni kitu gani kinachokufanya utuhumu kuwa ni wabunge wa ccm? Bunge lote hilo si wa CCM wala Chadema ni wababishaji tu huo ndio ukweli wenyewe na ndio sababu zaidi ubishani hakuna kinachofanyika; kimsingi hao si wabunge ni makada wa vyama wabunge karibu 90% ni vituko tu hata kuchambua bajeti hawajui hata hao wa upinzani kusoma bajeti yao wenyewe iliwashinda sasa tutasema tuna wabunge?

Chama
Gongo la mboto DSM

Wabunge wa CCM wanateswa sana na dhana ya uwajibikaji wa pamoja kama Chama ndio maana ndani ya bunge wengi huwa upande wa serikali hata kama ni kuunga mkono hoja za kipuuzi, lakini wakienda kwenye vikao vyao vya wabunge wa CCM huwa wanacharuka sana na kuambiana ukweli kwani wanaelewa kwamba sehemu kubwa ya umma inaunga mkono hoja wa wapinzani karibia katika kila kitu na hii sio salama kwao kuelekea uchaguzi mkuu ujao (2015); Hivyo moja ya njia za kujaribu kujiokoa na tatizo hili ni kujaribu kujenga hoja ya namna hiyo kama wabunge wa CCM, hoping kwamba itapitishwa kirahisi kwani wabunge wa CCM ndio majority wa "NDIYOOOOO"
 
Spika wa Bunge amesema kuwa baadhi ya wabunge wanaandaa hoja ya kuzuia vipindi vya Bunge kuonyeshwa LIVE kwa wananchi!
Ninavyochukulia: Huku ni kulewa Madaraka!...Wanataka wachape usingizi bila kuhojiwa na wapiga kura hawa!

CHANZO: Gazeti la Mtanzania leo 13/08/2012
Watakuwa ni wa "VITI MAALUM" hawa!.
 
Itabidi wananchi tuonyeshe kuchoka kwetu na mfumo jike malaya ccm,kwa kuandamana mpaka magogoni.
 
Tutaandamana mpaka magogoni kupinga,dhuruma ya kuona wawakilishi wetu mjengoni.
 
Itabidi wananchi tuonyeshe kuchoka kwetu na mfumo jike malaya ccm,kwa kuandamana mpaka magogoni.
 
Tuwe wapole tusianze ku guess tu hapa tusubiri hoja iletwe bungeni ndo tutajua wanaosapoti hii hoja baadae tuta conclude ni wabunge wa chama gani
 
Wabongo bana, yaani kuna ishu direct kabisa zinafanyika na zina impact na watu moja kwa moja na hawajaandamana eti leo bunge kuto onyeshwa live ndio waandamane.
 
Makubwaaaaa... Wanataka watupelekeshe tu.
 
Wewe Ritz! Kuwa makini na utamkayo!
Ni nani mnafiki humu jamvini zaidi yako na ile kampani yako??
Twafadhali kuwa makini na utamkayo weye!

Mkuu wewe ndio uwa mtu wa kwanza kuripoti kwa mods nashangaa unavyokuwa mnafiki kwa kauli zako za kejeli...
 
Wakifanikiwa kwa hili litakalofuatia watapigana ndani ya bunge na kuuana. Huu mkakati una nia mbaya kwa walio wachache na utatunyima haki ya kupata habari moja kwa moja na kulijua bunge letu na wabunge wetu. Na walegee na kushindwa.
 
Back
Top Bottom