Kama Wengekuwa na akili Nilitegemea wangejadili namna ya Kuboresha Muonekano, Pamoja na kununua Generator za vitongoji na TV ili wote ambao wanapata Tabu kuliona Bunge waweze Kuwezeshwa Kuona!! Ila wanajadili namna ya kuzuia!! What a shame is This!!!
Mi naomba jina la aliyetoa wazo hilo, kama wanadhani sisi hatuwezi kuwapeleka kwenye ule MSITU wao, wathubutu, tutawapeleka tena mchana kweupe!
hakika kabisa, hao uliotaja wanahusika moja kwa moja, na amini usiamini lazima ni wa ccm wote!
Hakika hoja hiyo ikifanyiwa kazi wananchi tunapaswa kuonyesha live kuwa hatukubali upopompo huo!...
Ni kitu gani kinachokufanya utuhumu kuwa ni wabunge wa ccm? Bunge lote hilo si wa CCM wala Chadema ni wababishaji tu huo ndio ukweli wenyewe na ndio sababu zaidi ubishani hakuna kinachofanyika; kimsingi hao si wabunge ni makada wa vyama wabunge karibu 90% ni vituko tu hata kuchambua bajeti hawajui hata hao wa upinzani kusoma bajeti yao wenyewe iliwashinda sasa tutasema tuna wabunge?
Chama
Gongo la mboto DSM
Watakuwa ni wa "VITI MAALUM" hawa!.Spika wa Bunge amesema kuwa baadhi ya wabunge wanaandaa hoja ya kuzuia vipindi vya Bunge kuonyeshwa LIVE kwa wananchi!
Ninavyochukulia: Huku ni kulewa Madaraka!...Wanataka wachape usingizi bila kuhojiwa na wapiga kura hawa!
CHANZO: Gazeti la Mtanzania leo 13/08/2012
List nimeshaiona, namba moja ni wassira na komba ni namba mbili ndiyo wanafuatia wengine.komba lazima atakuwepo kwenye list.
Mkuu wewe ndio uwa mtu wa kwanza kuripoti kwa mods nashangaa unavyokuwa mnafiki kwa kauli zako za kejeli...