Ndio maana wanatukata hela nyingi kwenye simu
Ndio maana wanatukata hela nyingi kwenye simu
Ndio maana wanatukata hela nyingi kwenye simu
Haya n pamoja na yale yanalalamikiwa kukosekana kwa usawa na ubaguzi katika jamii yetu.Thrd hizi tunajaribu kudadavua kwa nini Silaa alisema Wabunge hawalipi kodi. Ofisi ya Bunge inasema Wabunge wanalipa kodi, ikimaanisha PAYE. Upande wa pili, Spika akitumia nguvu nyingi sana kumtia adabu Silaa kwa matamshi yake.
Nionavyo, ni kweli Wabunge wakisaidiwa na ofisi ya Bunge, wanakwepa kodi. Wanatumia mtindo wa kizamani, wa kifisadi kukwepa kodi. Mshahara wa Mbunge milioni 2 plus, marupurupu ni zaidi ya milioni 8! Jumla yote milioni 11!
Unawezaje kulipa kodi ya milioni 2 kama PAYE wakati kipato chako ni milioni 11? Nchi gani dunia hii inayolipa marupurupu mara 4 zaidi ya mshahara wa mtu?
Hii ni mbinu inayofanywa na ofisi ya Bunge ili kuwasaidia wabunge kukwepa kodi. Wabunge lipeni kodi stahili, Silaa yuko sahihi!
Nionavyo, ni kweli Wabunge wakisaidiwa na ofisi ya Bunge, wanakwepa kodi. Wanatumia mtindo wa kizamani, wa kifisadi kukwepa kodi. Mshahara wa Mbunge milioni 2 plus, marupurupu ni zaidi ya milioni 8! Jumla yote milioni 11!Thrd hizi tunajaribu kudadavua kwa nini Silaa alisema Wabunge hawalipi kodi. Ofisi ya Bunge inasema Wabunge wanalipa kodi, ikimaanisha PAYE. Upande wa pili, Spika akitumia nguvu nyingi sana kumtia adabu Silaa kwa matamshi yake.
Nionavyo, ni kweli Wabunge wakisaidiwa na ofisi ya Bunge, wanakwepa kodi. Wanatumia mtindo wa kizamani, wa kifisadi kukwepa kodi. Mshahara wa Mbunge milioni 2 plus, marupurupu ni zaidi ya milioni 8! Jumla yote milioni 11!
Unawezaje kulipa kodi ya milioni 2 kama PAYE wakati kipato chako ni milioni 11? Nchi gani dunia hii inayolipa marupurupu mara 4 zaidi ya mshahara wa mtu?
Hii ni mbinu inayofanywa na ofisi ya Bunge ili kuwasaidia wabunge kukwepa kodi. Wabunge lipeni kodi stahili, Silaa yuko sahihi!
Nionavyo, ni kweli Wabunge wakisaidiwa na ofisi ya Bunge, wanakwepa kodi. Wanatumia mtindo wa kizamani, wa kifisadi kukwepa kodi. Mshahara wa Mbunge milioni 2 plus, marupurupu ni zaidi ya milioni 8! Jumla yote milioni 11!
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Hili nalo ni gumu kulielewa. Yaani kweli Dereva wa Mbunge anaajiliwa na Mbunge, halafu malipo ya mfuko wa jamii nani analipa? Ni uhuni ndani ya nchi. Inafikia hatua Bunge ni chombo cha uhuni uhuni tu!Hii kama ni kweli sio sahihi. Kwanini Mbunge akabithiwe pesa za wafanyakazi wake? Kuhusu malipo ya wafanyakazi wa Mbunge. Pesa asipewe Mbunge. Jukumu la kulipa wafanyakazi wa Mbunge libaki kwa BUNGE..Bunge liweke utaratibu. Mbunge akiajiri mfanyakazi anawasilisha particulars zake kwenye mamlaka ya bunge kwa ajili ya records na malipo kwa mfanyakazi yoyote wa Mbunge anayetambulika kwa utaratibu wa kibunge. Hii itasaidia kulinda maslahi ya wafanyakazi husika pamoja na kuthibiti pesa za umma.
TRA walistahili kuomba kodi za waajiliwa wa Mbunge. Akiajili dereva lazima waombe kodi zao.Hapana, unawakosea kuwatukana...
Wao wanakusanya kodi kwa kuongozwa na sheria zilizopo...
Hawawezi kukusanya kodi kwenye eneo au kwa mtu ambaye sheria haimtaji kuwa alipe kodi...
Nyie tukomaeni na wabunge ambao ndiyo watunga sheria za kuumiza watu ili sheria hizi hizi zianze kuwaumiza na wao mpaka washike adabu kisha wajifunze kutunga sheria fair zanye kumfaa kila mtu ktk jamii...