Lambardi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2008
- 16,499
- 17,373
10% ziko madege huko alinunuliwa cash....mwingine storyNa wewe umo nini kwenye hayo ma 10%
Kwani ikijulikana hakuna ufisadi shida iko wapi kama mnaemtetea mnajua hajaharibu?
10% ziko madege huko alinunuliwa cash....mwingine storyNa wewe umo nini kwenye hayo ma 10%
Kwani ikijulikana hakuna ufisadi shida iko wapi kama mnaemtetea mnajua hajaharibu?
Kwa ujinga huu sukuma gang inapotezaje heshima? Lambard kwa taarifa yako kwa maelezo mambo ni mazuri lkn kiuhalisia mambo ni mabaya sana,bei za bidhaa juu maji tatizo umeme tatizo miradi ya kimkakati yote ina dorola mama anakusanya genge la wahuni Kama wasaidizi wake,tunasubiri kishindo cha mwanguko.Sukuma gang kazini nyie buku ngapi mnajua ? Jirani Cheng na zama nimepita......mngetulia tu Mpare heshima ndogo iliobakia hiyo vita ya keyboard hutaweza
Tshs 65 bilioni inatosha kununua ndege ngapi kama za ATCL ?Kwa nini uongozi wote wa Tanesco ulifutwa kazi kuanzia Waziri Kalemani na Bodi yote na Mkurugenzi wake mkuu?!
Kwanini wakuu wa Idara wote walihamishiwa utumishi ili wapangiwe kazi zingine?!
Kwanini mara baada ya yote hayo kutendeka Tanesco kupitia safu mpya ya uongozi waliingia mkataba wa bilioni 65 Tsh kwa ghafla na kwa haraka isiyotarajiwa?!
Ni kweli mkataba ule wa mabilioni ya Tshs ulikuwa muhimu mno kuliko hizo pesa zingeelekezwa kwenye matumizi chanya ya kutatua changamoto lukuki zilikabiliao shirika hasa kwa kauli za Waziri husika kudai lipo tatizo la ukarabati wa miundombinu na zile fedha si zingeelekezwa kule?!
Kwa nini sasa huo mkataba na wahindi uingiwe ghafla namna ile na je Baraza la mawaziri lilitoa baraka za uingiwaji wake?!
Tunaomba Bunge letu liunde kamati maalum ya wabunge mahili kwenye kada hiyo ili iweze kuchunguza kwanza uhalali wa mkataba ule na nini faida zake.
Pia endapo ikabainika mkataba ule haukuwa na umuhimu wowote basi Bunge liiwajibishe Serikali kwalo.
Ndugai, kupitia uchunguzi wa Bunge kuhusu huo mkataba angalau kwa uchache wa imani wananchi wataanza kukuamini tena.
Mkataba wa magumashiBunge lipi? Hili ambalo linapokea maagizo ya Ikulu? Tulieni. Mliyokuwa mnapitisha wabunge wa chama kimoja hakujua madhara yake sasa mkae kwa kutulia muibiwe mpaka akili ziwakae.
Mnapoambiwa nchi haipaswi kuongozwa kwa matamshi bali sheria na taasisi imara mlinifanya viziwi leo Magufuli hayupo tumerudi tulipotoka kwa sababu nchi haina taasisi imara zenye uwezo wa kusimamia maslahi ya taifa.
Ni kweli kuna ukakasi wa kiutaratibu na kikanuni kwenye huo mkataba kwasababu haiwezekani Waziri hata mwezi hana anaingia mkataba wa 69.3 billion kuboresha mfumo ambao hata hajawahi kufanya nao kazi, amejua lini mapungufu yake? Je amefuata mchakato wa manunuzi? Je hiyo hela ilikuwa kwenye budget na ilikuwa kwenye procurement plan ya Tanesco?
Vipi aliyeweka katibu Mkuu wizara ya fedha mtoto wa dadake au umesahau..?Makamba January ni tatizo linalojitegemea, huyu mtu hafai hata kuwa balozi wa serikali ya mtaa wowote nchi hii, hana sifa ya kuwa kiongozi wa serikali ni vile tu wanaangalia kujuana.
Hiyo bodi aliteua members ambao wanajuana, mostly wakiwa marafiki zake, akiamini fika uwepo wao hautakuwa kikwazo kwake kwenye kufanya ujanja wake, huyu mtu anatafuta pesa za kuwa rais wa kubebwa.
Kwa nini uongozi wote wa Tanesco ulifutwa kazi kuanzia Waziri Kalemani na Bodi yote na Mkurugenzi wake mkuu?!
Kwanini wakuu wa Idara wote walihamishiwa utumishi ili wapangiwe kazi zingine?!
Kwanini mara baada ya yote hayo kutendeka Tanesco kupitia safu mpya ya uongozi waliingia mkataba wa bilioni 65 Tsh kwa ghafla na kwa haraka isiyotarajiwa?!
Ni kweli mkataba ule wa mabilioni ya Tshs ulikuwa muhimu mno kuliko hizo pesa zingeelekezwa kwenye matumizi chanya ya kutatua changamoto lukuki zilikabiliao shirika hasa kwa kauli za Waziri husika kudai lipo tatizo la ukarabati wa miundombinu na zile fedha si zingeelekezwa kule?!
Kwa nini sasa huo mkataba na wahindi uingiwe ghafla namna ile na je Baraza la mawaziri lilitoa baraka za uingiwaji wake?!
Tunaomba Bunge letu liunde kamati maalum ya wabunge mahili kwenye kada hiyo ili iweze kuchunguza kwanza uhalali wa mkataba ule na nini faida zake.
Pia endapo ikabainika mkataba ule haukuwa na umuhimu wowote basi Bunge liiwajibishe Serikali kwalo.
Ndugai, kupitia uchunguzi wa Bunge kuhusu huo mkataba angalau kwa uchache wa imani wananchi wataanza kukuamini tena.
Samia amefanya kazi na Makamba anamjua vizuri pengine kuliko wewe na mimiSamia asipokuwa makini ataingizwa mkenge na hao watoto wa mjini akina makamba, hawana uzalendo hata kidogo. Utawala wa huyu mama utakuwa wa kupigiwa kelele hata na wananchi wa chini kama ilivyokuwa kwa JK.Kuongoza nchi siyo mchezo akili za kuambiwa changanya na zako siyo kila kitu utoe kwa JK, ukishindwa tutakuona hufai wewe, huyo makamba wa nini?
Magufuli alichunguzwa alivyojenga uwanja wa ndege Chato na tenda ya ujenzi kupewa Mayanga Construction, kampuni ya mtu waliyeoa nyumba moja!Wakat wa JPM uongoz wote wa tanesco ulifutwa kuanzia board, mkurugenz na management je uamuzi ulichungunzwa?
Mtu alikuwa Magufuli tu katika hii nchi. Pamoja na mapungufu yake yote,lakini alikuwa na uchungu. Usingeweza kukuta vitu vya ajabu ajabu namna hiyo. Ghafla nchi imebadirika upigaji umekuwa live live sasa
Sukuma gang kazini nyie buku ngapi mnajua ? Jirani Cheng na zama nimepita......mngetulia tu Mpare heshima ndogo iliobakia hiyo vita ya keyboard hutaweza
FYI jitombashisho na Suzy Elias. Mnaulizwa Bunge gani la kufanya kazi hiyo? Hii hii ya Ndugai. Mtasubiri sana. Achana na hako kamkataba ka Tanesco, babalao la Bandari ya Bagamoyo unakuja. Ndugai ndiye mshabiki namba moja Wa mkataba huo Wa Bagamoyo! Mamayee...Mtajuta kuwa na Bunge la chama kimoja.Bunge gani la kujadili mambo nyeti kama hayo?
Ngoja tuwape muda,wakati utaongea.Huyo ndio alikuwa fisadi kuu, midege amenunua fedha hazijaizinishwa na bunge, hili tu wapige ten percent, hakuna mkataba hata mmoja kipindi Cha mwendazake ambao ulikuwa wazi au vinginevyo,Tena ukijitia kuhoji umekwisha,
Kipindi Cha Samia mambo mengi anaweka wazi, akikopa fedha nje anatueleza wananchi, mwendazake yeye alikuwa anakopa fedha kwa aliowaita mabeberu,halafu misukule yake anaidanganya kuwa anatumia fedha za ndani,
Mwendazake Kama angefankiwa kumaliza vipindi vyote viwili, Nchi ingekuwa na Deni hata la trillion 200,
SAMIA Ni best president ,na ataifikisha Nchi mbali Sana kimaendeleo, nyie misukule ya mwendazake dawa yenu ipo jikoni!!
Vipi?Kwa nini uongozi wote wa Tanesco ulifutwa kazi kuanzia Waziri Kalemani na Bodi yote na Mkurugenzi wake mkuu?!
Kwanini wakuu wa Idara wote walihamishiwa utumishi ili wapangiwe kazi zingine?!
Kwanini mara baada ya yote hayo kutendeka Tanesco kupitia safu mpya ya uongozi waliingia mkataba wa bilioni 65 Tsh kwa ghafla na kwa haraka isiyotarajiwa?!
Ni kweli mkataba ule wa mabilioni ya Tshs ulikuwa muhimu mno kuliko hizo pesa zingeelekezwa kwenye matumizi chanya ya kutatua changamoto lukuki zilikabiliao shirika hasa kwa kauli za Waziri husika kudai lipo tatizo la ukarabati wa miundombinu na zile fedha si zingeelekezwa kule?!
Kwa nini sasa huo mkataba na wahindi uingiwe ghafla namna ile na je Baraza la mawaziri lilitoa baraka za uingiwaji wake?!
Tunaomba Bunge letu liunde kamati maalum ya wabunge mahili kwenye kada hiyo ili iweze kuchunguza kwanza uhalali wa mkataba ule na nini faida zake.
Pia endapo ikabainika mkataba ule haukuwa na umuhimu wowote basi Bunge liiwajibishe Serikali kwalo.
Ndugai, kupitia uchunguzi wa Bunge kuhusu huo mkataba angalau kwa uchache wa imani wananchi wataanza kukuamini tena.
Hapo vilaza wa CCM ndio watajua maana ya kambi rasimi ya upinzaniBunge gani la kujadili mambo nyeti kama hayo?
Waliyeoa nyumba moja?Magufuli alichunguzwa alivyojenga uwanja wa ndege Chato na tenda ya ujenzi kupewa Mayanga Construction, kampuni ya mtu waliyeoa nyumba moja!
Upinzani gani magaidi ?Hapo vilaza wa CCM ndio watajua maana ya kambi rasimi ya upinzani