Bunge Leo laahirishwa Sababu wabunge wa CCM wanaenda kufanya kazi za chama na posho wamechukua

Mkuu naona siku hizi umebadikika sana kwenye comment zako

Mtazamo wako kwenye comments zangu ndio umebadilika

Tangu nimejiunga Jf nimekuwa na mawazo yangu huru nikiona yafaa kupongeza au kukosoa nafanya kwa uhuru

Ukipitia hata nyuzi za wakati huo utaona
sheikh Wangu!

Kidumu cha Taifa Chama cha Wanyonge Chama Kikongwe zaid Duniani kuwa Madarakan kwa muda mrefu zaid
 
Ndicho tulichosema tangu seke seke la Assad lianze

Unafanyaje maamuzi makubwa ya kuja na Azimio bila ya Kibali cha Kamati ya Wabunge wa Chama?

Kuna Mtu atasulubiwa vya kutosha bila ya Shaka

Wakirudi Bungeni Wabunge waelezwe kujikita kwenye Mjadala sio kejeli kwa CAG
Kuna cheif WHIP - Mh Jenista na Katibu wa wabunge wa CCM Mh. Rwekiza hao walitakiwa kufanya kitu kabla ya kupitisha azimio lile
 
bunge limeahirishwa saa 4.45 kisa wabunge wa CCM wanakwenda kukutana na Mkt wa chama Dk Magufuli kumbuka kuwa wabunge Leo watajilipa posho zaidi ya mil 90 pesa za walipa kodi watanzania ili hali wanafanya kazi za chama. Haya ni matumizi mabovu ya Pesa zetu.

Haiwezekani wabunge Leo waone vikao vya maslahi ya taifa tena kikao cha Bajeti cha taifa hakina maana yoyote ila kikao cha chama ndio kina maana sana, Leo wabunge wao watajilipa posho bila kuifanyia kazi yoyote,



Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna maoni nimeyaona BBC Facebook; yana ukakasi sana kwa CCM
 
Kwani ni kosa kuahirisha bunge?wabaki hao vivuli wenu waendelee na kikao

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nani kazungumzia kosa? Kilichoulizwa kama ni busara kutelekeza kazi za wananchi na badala yake kufanya kazi za chama. Shughuli za bunge ni za kitaifa kwa ujumla ni zaidi ya shughuli za chma kimojawapo tu cha siasa.
 
Wakuu Bunge limehairishwa muda Huu. Kuna Kikao cha Dharura cha Wabunge wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli. Stay Tuned

Hii ndiobile wiki ya usaliti na ukanaji sasa tunaenda kuwaona wakina Yuda iskariot na Petro
 
Anaenda kuwaeleza wamtetee dhidi ya upigaji alioufanya .Sasa kuanzia kesho tegemea michango ya ajabu toka kwa wabunge wa ccm .
 
Back
Top Bottom