Bunge lapitisha azimio kumpongeza Rais Magufuli kwa mbinu alizotumia kuitokomeza Covid 19

Cheap politics, actually ujinga. Kuna vitu muhimu sana bunge could do.
Report ya CAG ....hela za mifuko ya jamii...

Huu ni zaidi ya unafiki na ulofa. Namuona mbunge wa CUF sijui viti maalum anaongea urojo balaa. Na huyu ni mhalif, nasikia anatakiwa polisi lkn anajifanya kupiga chenga kila siku... !!
Sifa huwa zinakuja automatically sio kwa kulazimisha..

QUOTE="johnthebaptist, post: 35648635, member: 228646"]
Bunge kwa kauli moja limepitisha azimio la kumpongeza Rais Magufuli kwa mbinu alizotumia na uongozi alioutoa hadi kufanikiwa kutokomeza ugonjwa hatari wa Corona.

Bunge limesema Dunia sasa inaitazama Tanzania kama nchi ya kuipigia mfano na kuiga mbinu za kutokomeza ugonjwa wa Corona.

Chanzo: Star tv habari!

Maendeleo hayana vyama!
[/QUOTE]
 
Nasikia na Bunrundi walikuwa wanapanga kumpongeza wa kwao kwa kuishinda corona... sasa imemuondoa kwa ukaidi wake! Masikini mke wake anapambania maisha yake. Mungu amsaidie masikini apone angalau watoto wabaki na mama
Due yaani imepiga vibaya ni msiba Mkubwa sana kwao awajapata hata nafasi ya kuficha pesa nje ya nchi,ataishije Sasa mke wake akipona
 
Saa hizi ndugu wa karibu wanafungua makabati kutafuta mabulungutu maana muda wenyewe ndio sasa
Kufa kafaana hata walinzi wanajichotea tu.watawala wa kiafrica ushindana kuwekeza nje ya nchi yao,akiiba Congo ujenga tz ,tz to Zimbabwe,UG to Nigeria the same same
 
Vituko vingine kama hivi utavipata afrika tu.alafu tukitoka hapo tunalaumu wazungu kwa umaskini wetu.
 
Cheap politics, actually ujinga. Kuna vitu muhimu sana bunge could do.
Report ya CAG ....hela za mifuko ya jamii...

Huu ni zaidi ya unafiki na ulofa. Namuona mbunge wa CUF sijui viti maalum anaongea urojo balaa. Na huyu ni mhalif, nasikia anatakiwa polisi lkn anajifanya kupiga chenga kila siku... !!
Sifa huwa zinakuja automatically sio kwa kulazimisha..

QUOTE="johnthebaptist, post: 35648635, member: 228646"]
Bunge kwa kauli moja limepitisha azimio la kumpongeza Rais Magufuli kwa mbinu alizotumia na uongozi alioutoa hadi kufanikiwa kutokomeza ugonjwa hatari wa Corona.

Bunge limesema Dunia sasa inaitazama Tanzania kama nchi ya kuipigia mfano na kuiga mbinu za kutokomeza ugonjwa wa Corona.

Chanzo: Star tv habari!

Maendeleo hayana vyama!
[/QUOTE]Yawezekana ikawa "Cheap politics" kwa jinsi unavyotaka ieleweke. Ujinga pia ni dhana yako isije kuwa wewe ndiye mjinga kwa kutokutambua uwezo wa wawakilishi wako. Vipi Octoba, 2020 ukajitosa kugombea ili uingie mjengoni kuwatoa ujinga? Na hawa wachambuzi nao ni wajinga?
 
very sudden, na kweli alikuwa hajahamisha hela na marupurupu aliyojirundikia. Mungu ni mwema !
Labda Kama alizificha ulaya zimepona,maana watawala wa kiafrica uingia wakiwa masikini utoka wakiwa mamilionea yaani utamani wawe matajiri wa kwanza wa dunia kupitia kuiba Kodi za waafrika huku wakiwaacha waafrika fukara dhoofu Hali kwa kuwafanya waafrika watopee kwenye ufukara ili waweze kutawala vizuri.Kaburu Botha na General Bernard Montgomery awakukosea kabisa kuisoma akili za watawala wa kiafrica.
 
Attachments

  • Screenshot_20200518_071225.jpg
    Screenshot_20200518_071225.jpg
    78.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom