Mimi nadhani tatizo liko hapo HR department na katibu nae kuchi nehi che! na huyo ni katibu mpya... hiyo title imeshtua kidogo
Lakini pia tuache unafiki tuongee ukweli, huyo kashishila ni mtu wa wapi? maana kuna makabila humu bongo kwa kujuana yanakera
MkamaP.Mkuu fafanuwa kidogo wafu ni wepi? Maana kama unamaanisha wafu ni hao wahitimu wa AUG sielewi kabisa.
Maana wanaloliangamiza na kulimeng;enyuwa taifa hili kwa 99.999999% wanajulikana ni wahitimu wa chuo gani.
Dhama za kuangalia chuo gani unatoka zimepitwa na wakati ,waajili wanaangalia nini unakifahamu na utaweza kudili sawasawa na kuongeza tija zao ktk utendaji wa taasisi yao.
Mtu anakuja na tuhuma za udini hii naiona imekaa kimaajabuajabu ,maana mtu kama ni udini unaweza chukuwa watu kutoka kokote kule duniani na bado ukachukuwa wa dini moja.
Hoja ni ipi hapa sielewi? kama umeweka mtihani na unataka ili apasi anafikisha maksi fulani na kwa bahati nzuri zikafikishwa hizo maksi na watu wa familia moja utawaacha uchukuwe waliofeli eti kwa sababu wametoka familia moja.
Mfano wasaili ili wakupe kwenda stage ya pili wanaangalia muundo wa CV, mambo yaliyomo ndani, lugha jinsi iivyotumika yani usahihi wa lugha maana hii kazi inaendana na lugha kiswaz ama kiigereza na mwisho wanatowa maksi ktk CV ,cv zilizofikia maksi fulani ndio zinaingizwa stage ya pili ,sasa kama jamaa wamefeli mnataka waingizwe ndani ??
Kitu kingine mnaweza kuwa mmesoma kozi moja lakini baadhi ya masomo mmetofautiana na wengine hawakuyasoma kabisa, sasa je kama mwaajili anataka jamaa wawe na uelewa ktk eneo fulani sasa ninyi kwa bahati mbaya hamkusoma hicho kitu si mnapigwa chini wote.
Mfano mwingine tuseme wizara ya mambo ya nje inaajiri wafanyakazi sasa ndani za creteria zao inakuwa cv inayopita lazima awe anafahamu lugha tatu za kigeni kwa bahati nzuri ama mbaya ST Aug wakawa wanafundisha Kichina na kispanish ,harafu ninyi udsm ni kiigereza tu ,mkija mkapigwa chini mnalalama eti watu wa chuo kimoja wamechukuliwa???
Hapa narudia tena kuomba taarifa mwenye nazo tatizo ni kwasababu udsm wamepigwa chini ama kwa sababu AUGST hawawezi kuitwa wakachwa chuo BABU K udsm.?
Kama tatizo ni Rushwa basi tulpeni hizo detail tutasambue mambo
kwa kashfa hii, spika sitta awajibike, ajiwajibishe!
Kweli bunge letu ni uozo pamoja na kelele zote hizi,tarehe nane mwezi huu waombaji wa kazi hizi wamepewa ajira rasmi someni mwananchi la tarehe nane,April kuna dada Catherine Muhula ambaye hana sifa za kuajiriwa amepewa kazi kwa shinikizo la Mama Kilango ambaye ni ndugu yake.
hivi tunapodanganya kuwa kuna mashujaa wa ufisadi wakati kina kilango ndio wa kwanza kuwapa kazi ndugu zao wakiwa hawana sifa, msichana huyu kamaliza November 2008 Nyegezi, kazi aliyoomba Hansard Reporter ilitakiwa awe na uzoefu wa miaka miwili,kitu hiki kilimshangaza waziri Maua Daftari aliyekuwa kwenye jopo la usaili lakini william shulukindo,Thomas Kashilillah,Raphael Nombo,Madugu walilazimisha watu wao wachukuliwe.
kikubwa kwenye taasisi ya bunge ni kuifanya sehemu ya wakatoliki. kwani Raphael Nombo,Kashilillah ni wakatoliki ambao wanafanya kila linalowezekana kuona kuwa wahitimu wa chuo cha kikatoliki wanapata nafasi bungeni.
kuna dada aliyesoma Nyegezi akaajiriwa na Nombo bungeni akapelekwa uk kufanya Masters kwa bahati mbaya akapata ajali huko masomoni. aliporudi kazini amepewa jukumu la kupita mitaani kuchukua CV za watu wa Nyegezi lakini wawe wakatoliki.
Shame on you RAPHAEL Nombo na Kashilillah

Kanda2 wewe unaonekana ni mdini,sijaipenda post yako.
wadini ni hao wanachukua watu wa chuo kimoja TENA cha kikatoliki, lazima usiipende post yangu kwani ukweli unauma siku zote.
wewe hujui kuwa hata waLUTHERI wanapigwa vita hivi sasa? hujui kampeni anayofanyiwa Mizengo Pinda na Membe kwa vile ni wakatoliki ili wachukue nafasi ya urais 2015?
John Malecela alinyimwa urais 1995 kwa vile ni muanglikana kisa kikubwa alimualika askofu wa CANTERBURY.mkapa hakuwa na kikubwa cha kubebwa na Nyerere zaidi ya mbeleko ya ukatoliki.Malecela alikuwa na uwezo na sifa zaidi ya kuwa rais kuliko mkapa ila Uanglikana ukamuharibia.
Raphael Nombo ni mkatoliki wa peramiho-Songea.
Kashilillah ni mkatoliki wa sumbawanga kama pinda.
kuthibitisha udini wa ajira bungeni kuna waislam wana masters, upper second n.k wameachwa wote na kuchukuliwa wakristu wasio na uwezo kama kina Catherine Muhula kwa nguvu za udini.
haya yametokea Rwanda watu kutumia fursa zao kwa maslahi ya dini au dhehebu.
OBOTE alikuwa mkatoliki na mwalimu Nyerere alimsupport kwa UKATOLIKI.kiasi ya kwamba katiba ya uganda iliandikwa kipindi cha OBOTE kuwa huwezi kuwa gavana wa benki kuu ya Uganda kama sio mkatoliki. hili hadi leo lipo.
Kweli bunge letu ni uozo pamoja na kelele zote hizi,tarehe nane mwezi huu waombaji wa kazi hizi wamepewa ajira rasmi someni mwananchi la tarehe nane,April kuna dada Catherine Muhula ambaye hana sifa za kuajiriwa amepewa kazi kwa shinikizo la Mama Kilango ambaye ni ndugu yake.
hivi tunapodanganya kuwa kuna mashujaa wa ufisadi wakati kina kilango ndio wa kwanza kuwapa kazi ndugu zao wakiwa hawana sifa, msichana huyu kamaliza November 2008 Nyegezi, kazi aliyoomba Hansard Reporter ilitakiwa awe na uzoefu wa miaka miwili,kitu hiki kilimshangaza waziri Maua Daftari aliyekuwa kwenye jopo la usaili lakini william shulukindo,Thomas Kashilillah,Raphael Nombo,Madugu walilazimisha watu wao wachukuliwe.
kikubwa kwenye taasisi ya bunge ni kuifanya sehemu ya wakatoliki. kwani Raphael Nombo,Kashilillah ni wakatoliki ambao wanafanya kila linalowezekana kuona kuwa wahitimu wa chuo cha kikatoliki wanapata nafasi bungeni.
kuna dada aliyesoma Nyegezi akaajiriwa na Nombo bungeni akapelekwa uk kufanya Masters kwa bahati mbaya akapata ajali huko masomoni. aliporudi kazini amepewa jukumu la kupita mitaani kuchukua CV za watu wa Nyegezi lakini wawe wakatoliki.
Shame on you RAPHAEL Nombo na Kashilillah
someni mwananchi la tarehe nane,April kuna dada Catherine Muhula ambaye hana sifa za kuajiriwa amepewa kazi kwa shinikizo la Mama Kilango ambaye ni ndugu yake.