Bunge lakumbwa na kashfa nzito

dr. kashililah ni product ya udsm sasa kulikoni
anawatia zengwe (kama kweli) wenzake wa
huko? kweli kuishi kwingi ni kuona mengi
 
Hao wanafunzi, kama habari ni za kweli, wametoka kwenye chuo chenye harufu ya udini, kutokana na jina la chuo kilichotajwa, wa-Islam tukisema ''bunge halifati sheria linafata udini'' tutakuwa tumekosea? nina shaka kuwa hao short listed candidates watakuwa 95% waKiristo kama si mia kwa mia na kuna sababu tosha (chuo kilichotajwa) kuwa hakuna hata mmoja muIslam.

Tuendelee, tutafika tu.
 
DSM sina hakika kama St. Augustin waislam hawasomi...naamini Vyuo vikuu Sheria watu wa DINi zote wasome....ila wahusika wanafanya ratio ya DINI ktk selections...na ndio maana waislam hapo chuoni hawatakuwa wengi...!!!

Let us stick ktk vigezo walivyotumia ktk shortlisted candidates....Then kama ikitokea mambo ya UDINI then tukemee tena Vikali....
 
Mimi nadhani kuchukuliwa watu wa darasa moja kwenye kazi isingekuwa tatizo kama mchakato mzima wa kushortlist ungehusisha vyuo vyote, and then baada ya kuwachuja kwa usawa na uwazi wakabaki wa darasa moja hapo ingekuwa fine, tatizo la hili zoezi, ni kwamba waliochaguliwa hawakuwa na vigezo staili kwa maana hiyo walikuwa hawana hata haja ya kuapply,

1: Walikuwa wanatakiwa watu wenye uzoefu katika kazi wa atleast 2yrs, sasa hata kama una first class kwa sababu hiki kigezo ujakimeet tayari umeshafail

2: Walishasema kabisa watu wenye results slip hawatashughulikiwa, kwa hiyo kulikuwa hakuna sababu ya mtu aliyemaliza chuo 2weeks na cheti hana aweze kuomba hii kazi
hapa kuna maswali mengi ya kujiuliza lakini la muhimu ni hili, hawa jamaa wa saut ambao ndio walitoka chuo mda huo walikuwa na courage gani ya kuapply hiyo kazi wakati walishaona kabisa kwamba hawana vigezo, jawabu ni kwamba walishaambiwa nafasi zao zipo labda

1: Inawezekana ni watu wa usalama ambao waliandaliwa kwa kazi hiyo. Miaka mingi hii system ilikuwa inafanyika lakini kulikuwa hakuna pa kusemea na sasa kwa sababu ya utandawazi ndio imekuwa wazi kwa kila m2, tanesco, posta, bandari, airport haya yote yalikuwa yanafanyika kwa kuwachukua watu wasio na uwezo lakini walikuwa ni watu wa usalama na waliandaliwa kwa hilo.

2: Watu wa watu, tunaweza kuwalaumu hao jamaaa waliofanya shortlist lakini hatuwezi kujua walikuwa kwenye pressure ya aina gani, walitishiwa maisha kiasi gani na magodfather wa hao waajiliwa watarajiwa,

kwa issue ya dini mimi siipi uzito sana kwani walioomba hao 2000 sidhani kulikuwa na wakristo hao 15 tu wa sauti, kama ingekuwa ni mambo ya dini basi wangechanganya na wakristo wa kutoka vyuo vingine na sio sauti pake yake na wawe wa darasa 1, maana natumaini kulikuwa na wakristo wenye uzoefu wa kazi hizo kutoka udsm,mzumbe,tumaini,kivukoni na hata vyuo vya nje ya lakini hawapo hata kwenye hiyo shortlist

haya yote yana mwisho
 
Kituko.
si usalama wala nini ni mazingaombwe tu .kwani usalama wenyewe wameshangazwa na hili na linafanyiwa kazi.
nitakuja baadae na zaidi ya uonavyoona wewe.kuna makubwa kwenye hizi ajira.
 
Nimeelezwa kuna dada alikuwa na masters toka Udsm amekatwa na issue yake kila mtu kasikitika.nitaleta habari zaidi baada ya kupata vielelezo vyake.
stay tuned.
 
Mimi nadhani tatizo liko hapo HR department na katibu nae kuchi nehi che! na huyo ni katibu mpya... hiyo title imeshtua kidogo

Lakini pia tuache unafiki tuongee ukweli, huyo kashishila ni mtu wa wapi? maana kuna makabila humu bongo kwa kujuana yanakera

Kashilillah ni mtu wa Sumbawanga ndio maana anasema suala hili kupelekwa kwa waziri mkuu ni kujisumbua kwani ni home boy wake.
Nombo ambaye ni kaimu mkurugenzi wa ajira ni Mngoni wa songea.
 
Mkuu fafanuwa kidogo wafu ni wepi? Maana kama unamaanisha wafu ni hao wahitimu wa AUG sielewi kabisa.

Maana wanaloliangamiza na kulimeng;enyuwa taifa hili kwa 99.999999% wanajulikana ni wahitimu wa chuo gani.

Dhama za kuangalia chuo gani unatoka zimepitwa na wakati ,waajili wanaangalia nini unakifahamu na utaweza kudili sawasawa na kuongeza tija zao ktk utendaji wa taasisi yao.

Mtu anakuja na tuhuma za udini hii naiona imekaa kimaajabuajabu ,maana mtu kama ni udini unaweza chukuwa watu kutoka kokote kule duniani na bado ukachukuwa wa dini moja.

Hoja ni ipi hapa sielewi? kama umeweka mtihani na unataka ili apasi anafikisha maksi fulani na kwa bahati nzuri zikafikishwa hizo maksi na watu wa familia moja utawaacha uchukuwe waliofeli eti kwa sababu wametoka familia moja.

Mfano wasaili ili wakupe kwenda stage ya pili wanaangalia muundo wa CV, mambo yaliyomo ndani, lugha jinsi iivyotumika yani usahihi wa lugha maana hii kazi inaendana na lugha kiswaz ama kiigereza na mwisho wanatowa maksi ktk CV ,cv zilizofikia maksi fulani ndio zinaingizwa stage ya pili ,sasa kama jamaa wamefeli mnataka waingizwe ndani ??

Kitu kingine mnaweza kuwa mmesoma kozi moja lakini baadhi ya masomo mmetofautiana na wengine hawakuyasoma kabisa, sasa je kama mwaajili anataka jamaa wawe na uelewa ktk eneo fulani sasa ninyi kwa bahati mbaya hamkusoma hicho kitu si mnapigwa chini wote.

Mfano mwingine tuseme wizara ya mambo ya nje inaajiri wafanyakazi sasa ndani za creteria zao inakuwa cv inayopita lazima awe anafahamu lugha tatu za kigeni kwa bahati nzuri ama mbaya ST Aug wakawa wanafundisha Kichina na kispanish ,harafu ninyi udsm ni kiigereza tu ,mkija mkapigwa chini mnalalama eti watu wa chuo kimoja wamechukuliwa???

Hapa narudia tena kuomba taarifa mwenye nazo tatizo ni kwasababu udsm wamepigwa chini ama kwa sababu AUGST hawawezi kuitwa wakachwa chuo BABU K udsm.?
Kama tatizo ni Rushwa basi tulpeni hizo detail tutasambue mambo
MkamaP.
inaonekana Udsm walikukamata-ulidisco ndio maana una kichukia?

Nauliza swali.
 
IPO Haja Ya kureview namna ya USaili ili kuingia ktk Public Firms...otherwise kundi fulani ktk Jamii litatengeneza mazingira watu wa aina fulan ndio waajiriwe...Ikumbukwe kuwa hii national cake kila mmoja anahaki ya kutumia/kuipata kwa vigezo maalaum.

Suala la Upendeleo on any basis halitaweza kuvumiliwa au kuachiwa lipite bure.

Bunge kama Taaisis nyeti yatakiwa kuwa Mfano bora ktk Transparency. Hili Jambo ni la aibu ikiwa kama Taasisi kama hio inachukuwa watu kwa kujuana. Bahati mbaya ingine kukiri kukosea ni wagumu sana.

kama Mmeona watu wengi wameomba wekeni basi Series ya mchujo...Wekeni papers...then watakaofaulu waje usaili wa 2 au 3 to Nth hadi mpate cream...
 
Kanda2 upo wapi na Utafiti wako uliosema utauleta? .....wiki ishatimia au ndio Gea zako? au wahitaji miezi 2 kufanya utafiti au wakuu wamekukataza...?
 
Kweli bunge letu ni uozo pamoja na kelele zote hizi,tarehe nane mwezi huu waombaji wa kazi hizi wamepewa ajira rasmi someni mwananchi la tarehe nane,April kuna dada Catherine Muhula ambaye hana sifa za kuajiriwa amepewa kazi kwa shinikizo la Mama Kilango ambaye ni ndugu yake.

hivi tunapodanganya kuwa kuna mashujaa wa ufisadi wakati kina kilango ndio wa kwanza kuwapa kazi ndugu zao wakiwa hawana sifa, msichana huyu kamaliza November 2008 Nyegezi, kazi aliyoomba Hansard Reporter ilitakiwa awe na uzoefu wa miaka miwili,kitu hiki kilimshangaza waziri Maua Daftari aliyekuwa kwenye jopo la usaili lakini william shulukindo,Thomas Kashilillah,Raphael Nombo,Madugu walilazimisha watu wao wachukuliwe.

kikubwa kwenye taasisi ya bunge ni kuifanya sehemu ya wakatoliki. kwani Raphael Nombo,Kashilillah ni wakatoliki ambao wanafanya kila linalowezekana kuona kuwa wahitimu wa chuo cha kikatoliki wanapata nafasi bungeni.

kuna dada aliyesoma Nyegezi akaajiriwa na Nombo bungeni akapelekwa uk kufanya Masters kwa bahati mbaya akapata ajali huko masomoni. aliporudi kazini amepewa jukumu la kupita mitaani kuchukua CV za watu wa Nyegezi lakini wawe wakatoliki.
Shame on you RAPHAEL Nombo na Kashilillah
 
Tumeisha fikia hatua hii? I mean misingi ya imani kuwa kigezo cha ajira? je hii hali imechangiwa na nini? tunako elekea siko.. sasa kila mwenye ka nafasi akitanguliza imani yake sijui kama tutafika! Ukiangalia teuzi hizo ndo utashika kichwa! Naona tunaelekea kule kwa kina 'chinua achebe' NO LONGER AT IS.

siku likilipuka sijui nani atalizima!
 
Kweli bunge letu ni uozo pamoja na kelele zote hizi,tarehe nane mwezi huu waombaji wa kazi hizi wamepewa ajira rasmi someni mwananchi la tarehe nane,April kuna dada Catherine Muhula ambaye hana sifa za kuajiriwa amepewa kazi kwa shinikizo la Mama Kilango ambaye ni ndugu yake.

hivi tunapodanganya kuwa kuna mashujaa wa ufisadi wakati kina kilango ndio wa kwanza kuwapa kazi ndugu zao wakiwa hawana sifa, msichana huyu kamaliza November 2008 Nyegezi, kazi aliyoomba Hansard Reporter ilitakiwa awe na uzoefu wa miaka miwili,kitu hiki kilimshangaza waziri Maua Daftari aliyekuwa kwenye jopo la usaili lakini william shulukindo,Thomas Kashilillah,Raphael Nombo,Madugu walilazimisha watu wao wachukuliwe.

kikubwa kwenye taasisi ya bunge ni kuifanya sehemu ya wakatoliki. kwani Raphael Nombo,Kashilillah ni wakatoliki ambao wanafanya kila linalowezekana kuona kuwa wahitimu wa chuo cha kikatoliki wanapata nafasi bungeni.

kuna dada aliyesoma Nyegezi akaajiriwa na Nombo bungeni akapelekwa uk kufanya Masters kwa bahati mbaya akapata ajali huko masomoni. aliporudi kazini amepewa jukumu la kupita mitaani kuchukua CV za watu wa Nyegezi lakini wawe wakatoliki.
Shame on you RAPHAEL Nombo na Kashilillah

duuuu..ebwanaeheeeeeee..sasa kaka naona kweli unapoteza mwelekeo wa hoja...issue sipendi kuamini kama ni udini...kama unataka wakatoliki...basi wangeajiri masista, watawa na mapadre ...kutoka hukohuko kanisani....na sidhani kama hatuna dini na madhehebu mengine hapo st. augustine...hapa naomba nikukosoe..issue sio udini wala udhehebu..issue ni mfumo uliotumika kuwapata watu wasiotimiza vigezo hasa cha xperience ya 2yrs minimum...ok...inawezekana hao waliokuwa na xperience ya 15yrs hawana uelewa au hawakusomea hicho kitu kinachotakiwa...kwani nani hajui interview anayejibu vizuri maswali na kuonyesha uelewa mzuri ndio huchukuliwaaaa?.....ni maoni tuu..we dare to talk openlyyy
 
Kanda2 wewe unaonekana ni mdini,sijaipenda post yako.

wadini ni hao wanachukua watu wa chuo kimoja TENA cha kikatoliki, lazima usiipende post yangu kwani ukweli unauma siku zote.

wewe hujui kuwa hata waLUTHERI wanapigwa vita hivi sasa? hujui kampeni anayofanyiwa Mizengo Pinda na Membe kwa vile ni wakatoliki ili wachukue nafasi ya urais 2015?

John Malecela alinyimwa urais 1995 kwa vile ni muanglikana kisa kikubwa alimualika askofu wa CANTERBURY.mkapa hakuwa na kikubwa cha kubebwa na Nyerere zaidi ya mbeleko ya ukatoliki.Malecela alikuwa na uwezo na sifa zaidi ya kuwa rais kuliko mkapa ila Uanglikana ukamuharibia.
Raphael Nombo ni mkatoliki wa peramiho-Songea.
Kashilillah ni mkatoliki wa sumbawanga kama pinda.

kuthibitisha udini wa ajira bungeni kuna waislam wana masters, upper second n.k wameachwa wote na kuchukuliwa wakristu wasio na uwezo kama kina Catherine Muhula kwa nguvu za udini.
haya yametokea Rwanda watu kutumia fursa zao kwa maslahi ya dini au dhehebu.

OBOTE alikuwa mkatoliki na mwalimu Nyerere alimsupport kwa UKATOLIKI.kiasi ya kwamba katiba ya uganda iliandikwa kipindi cha OBOTE kuwa huwezi kuwa gavana wa benki kuu ya Uganda kama sio mkatoliki. hili hadi leo lipo.
 
Kweli wewe una hisia za kidini na mawazo kama hayo yanaweza kukusababishia ukaugua BP bure, karudie tena kufanya tafiti zako kuhusu:-
. Malecela na urais wa 1995 utapata ukweli
. Ukatoliki na Pinda aliyeingia juzi kwenye uwaziri
. Ukatoliki kwenye katiba ya Uganda na uhusiano na Nyerere.

Nafikiri hapo bado unatatizo kafanye utafiti mpya. Kuhusu hao walioajiriwa kama una CV zao basi ziweke hapa ili tuchambue CV za waliokosa na walioitwa. Huenda una chuki binafsi labda dada yako amekosa ndiyo maana inakuwa hivyo hadi unapelekea kwenye Udini.
 
Kweli bunge letu ni uozo pamoja na kelele zote hizi,tarehe nane mwezi huu waombaji wa kazi hizi wamepewa ajira rasmi someni mwananchi la tarehe nane,April kuna dada Catherine Muhula ambaye hana sifa za kuajiriwa amepewa kazi kwa shinikizo la Mama Kilango ambaye ni ndugu yake.

hivi tunapodanganya kuwa kuna mashujaa wa ufisadi wakati kina kilango ndio wa kwanza kuwapa kazi ndugu zao wakiwa hawana sifa, msichana huyu kamaliza November 2008 Nyegezi, kazi aliyoomba Hansard Reporter ilitakiwa awe na uzoefu wa miaka miwili,kitu hiki kilimshangaza waziri Maua Daftari aliyekuwa kwenye jopo la usaili lakini william shulukindo,Thomas Kashilillah,Raphael Nombo,Madugu walilazimisha watu wao wachukuliwe.

kikubwa kwenye taasisi ya bunge ni kuifanya sehemu ya wakatoliki. kwani Raphael Nombo,Kashilillah ni wakatoliki ambao wanafanya kila linalowezekana kuona kuwa wahitimu wa chuo cha kikatoliki wanapata nafasi bungeni.

kuna dada aliyesoma Nyegezi akaajiriwa na Nombo bungeni akapelekwa uk kufanya Masters kwa bahati mbaya akapata ajali huko masomoni. aliporudi kazini amepewa jukumu la kupita mitaani kuchukua CV za watu wa Nyegezi lakini wawe wakatoliki.
Shame on you RAPHAEL Nombo na Kashilillah

You just nailed on the head. Keep screwing kaka.
 
Namuunga mkono KANDA 2

inaonekana ana hoja nzito sema kuna watu hawapendi hili jambo lisemwe

kutokana na mtiririko wa hoja zake kwenye hii issue kuna UDINI na kosa la kanda mbili ni kupoint out kuwa kulikuwa na dalili nzito la udini kwenye hii ajira huko Dom

sioni kwa nini watu wanaogopa hili lisisemwe
 
someni mwananchi la tarehe nane,April kuna dada Catherine Muhula ambaye hana sifa za kuajiriwa amepewa kazi kwa shinikizo la Mama Kilango ambaye ni ndugu yake.

....duh inasikitisha sana kumbe mama kilango naye ni mpiga mapande duh jamani huu ufanisi tutasubili sana kama ndo hivyo inauma sana na kusikitisha watoto wa maskini hatuna chetu tena.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom