Hii nchi kuja kubadilisha ni ngumu sanaTanzania inahitaji fidia kutoka kwa mabeberu yaliyochota mali na kuchukua watu utumwani.
hii ni sambamba na kutoa idadi kamili ya maafa yaani waliouawa kwa mijeledi na kunyongwa nyakati za ukoloni
Ni raia watanganyika wangapi walitwezwa utu wao na kufa ili kuwaneemesha mabeberu?Bunge la ulaya litupe majibuHivi akili zako zipo sawa kweli wee pimbi kiazi bogus pumpikin head
Umepewa uhuru bila kumwaga damu
Unapewa misaada bure mpk ndomu unapewa free madawa n.k
Unakopeshwa kwa masharti nafuu
Wakina abdul hiyo misaada na mikopo ya wazungu wananunulia ma bugatti na ma v8
Leo unataka fidia gani?
Wazungu ndo waliua raia 10k+ 29oct?
Wewe umeingia JF Lini?Hivi huko CCM hakuna mtu mwenye kustuka kuwa mnaoitetea mitandaoni mnaiaibisha?
EU (European Union) ilianzishwa mwaka gani kwani... Na wakoloni walimuua nani kwa kumbukumbu zako.
Na hapa unatakiwa uwataje waingereza pekee!
So kwa kuwa wao walifanya hivyo ndo kunawapa uhalali wa kuua na kuteka watanganyika? Unataka kumaanisha bado tupo utumwani?Ni raia watanganyika wangapi walitwezwa utu wao na kufa ili kuwaneemesha mabeberu?Bunge la ulaya litupe majibu
Hivi wabongo walichukuliwa utumwani na nani na wslipelekwa wapi hasa?!Tanzania inahitaji fidia kutoka kwa mabeberu yaliyochota mali na kuchukua watu utumwani.
hii ni sambamba na kutoa idadi kamili ya maafa yaani waliouawa kwa mijeledi na kunyongwa nyakati za ukoloni
Oman iwe ya kwanza kulipa. Walikuwa vinara wa kuuza ndugu zetuTanzania inahitaji fidia kutoka kwa mabeberu yaliyochota mali na kuchukua watu utumwani.
hii ni sambamba na kutoa idadi kamili ya maafa yaani waliouawa kwa mijeledi na kunyongwa nyakati za ukoloni
Huu ni ushahidi kuwa unaiabisha CCM.Wewe umeingia JF Lini?
nyie ndio mliingia na lile genge la mabadiliko lowassa,Hebu tulia mada za kikubwa zikiwa zinajadiliwa
Wewe ni zuzu tu huna cha mada wala nini. Wewe ni zuzu.Kama mada huielewi sio lazima kuchangia.
nenda kacheze PS5