Bunge la jamii forum linarejea

Mh Spika,naomba kuelezea masikitiko yangu,hasa pale juzi baada ya Mkiti wa Bunge lako tukuka,alisikika akisema muda hautoshi hivyo nikashindwa kutumia haki yangu kikatiba kutambulisha familia yangu...

Sasa Mh Spika,naomba kikao hiki kiitambue familia yangu pale juu kwenye gallery... Pale kuna mpendwa bibi yangu mzaa mama,na kuna babu yangu mzaa baba,na kuna mjomba wangu mzaa mjukuu wake na shangazi wa pili wa mama mdogo anayefuata akiwa wa pili kuzaliwa kwa binamu yangu aliyefanikisha kampeni hata nikawa mbunge wa jimbo langu tukuka...

Mh Spika ,naomba kutoa hoja...

hukuambatana na mkeo??
Nimejaribu kupepesa macho kila kona sijamuona.
Au unaogopa atakuharibia kwa nyumba ndogo zako??
 
Mh Spika asante kwa kuniona....

Mh Spika,naona kuna wabunge njuka wa kikao hiki tukuka... Wala hawaheshimu cheo chako,na taratibu za kikao hiki cha kutunga sheria...

Mh Spika,mimi tangu nimtaliki mke wangu sijawahi kuwa na mahusiano ya kingono kabisa achilia mbali ngono zembe... Naomba mheshimiwa Engine Control afute kauli yake,na kuniomba radhi,kwa kunichafua,wakati anafahamu fika wapiga kura wangu wako online kupitia TV,redio,na intaneti....
 
teh teh teh!mh spika,kabla ya kuwakilisha ningependa kukupongeza kwa kazi nzuri ya kuliongoza bunge lako kwa nidhani ya hali ya juu,ebu muangalie mh Gabmanu asivyokua na uhadilifu,hv hata vitabu vya dini asomi?ngoja nimkumbushe aya ya biblia(kila mtu atakula kwa jasho lake)teh teh teh!

Leo cjatokwa na jasho kabisa! Kwa hiyo inamaana 6takula kabisa?
Achen utan kwa nin mniukumu wakat con kosa langu. Ni bora m niliyechelewa kufika kuliko wale waliokuwa wamecnzia!
Leo nilialikuwa nilikuwa na azimisha miaka 50 ya club ye2 ya Gongo. Kwan hiyo c kaz ya kijamii?
Na nilitoa pipa 10 za Piwa kama msaada kwa walev we2.
 
mh ENGINE CONTROL futa kali ili usifikishwe kwenye kamati ya bunge ya nidhamu na maadili ya viongozi.
 
Gabmanu bunge halina taarifa na udhuru wako,ntaunda tume ya kufatilia ili tupate ukweli.
Mwenyekiti wa tume atakuwa mh:ANGLE MUSOFFE,katibu atakua mh DUDU JEUSI.
Wajumbe ntawataja kesho.
 
teh teh teh,ahsante mh spika kwa kunichagua kuwa katibu wa tume.
Sasa na hata kakibanda kangu ka MASAKI ntakamalizia,teh teh teh,haa haa haa haa haa,teh teh.
 
Tunaendelea na kikao hii ya madaktari wakati wake wa kuijadili bado.
Lazima tuwe na nizamu humu ndani jamani.
 
Wah. Wabunge kikao kinarejea tunaendelea pale tulipoishia jana, kwako mh. Liverpool

Agenda kubwa ya kesho:

Ni moja tu!
Kujaji kwa umakini na ustaarabu chanzo cha police ambao ni walinzi wa raia na mali zao na nyakati hii wamegeuka kuwa wauaji wa raia.

Hili naomba tuliangalie kwa undani na umakini wa hali ya juu!
Haiwezekani hata kidogo watu waliopewa dhamana na Nchi wageuke kuwa wauaji kwa raia wasio na hatia.

Bunge litafunguliwa kesho saa nne ya asubuhi MAJALIWA!
 
Back
Top Bottom