Bunge la jamii forum linarejea

Mh Spika.. Sijajua tutaanza na maswali na majibu hiyo kesho au la...

Maana mimi nina hoja binafsi,ambayo wapiga kura wangu wamenisisitizia niiwasilishe...
 
Mh Spikaa...

Basi naomba kiti chako tukufu kipokee kwa maandishi hoja yangu na kesho mh spika unipe muda wa kuwasilisha hoja hii muhimu...

Mh Spika,naomba kuwasilisha..
 
Back
Top Bottom