Bunge la 10 likiongozwa na mwanamama Tegemeeni kusikia haya hapa kwa Spika


mzalendo2

Senior Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
119
Likes
1
Points
0

mzalendo2

Senior Member
Joined Oct 28, 2010
119 1 0
bunge la mwaka huu likiongozwa na mwanamke tegemea kusikia maneno ya kitchen party bungeni kama!!!!!!!!!
"muheshimiwa waziri heshima yako inashuka"
"muheshimiwa mbunge limekuganda"
"muheshimiwa zitto unikome kama ulivyolikoma titi la mama yako"
"muheshimiwa utajiju"
..."muheshimiwa unalo"............ongezeni mengine jamani!!!!!!!
 

Bevance

New Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
4
Likes
0
Points
0

Bevance

New Member
Joined Nov 9, 2010
4 0 0
Kwa kweli bungeni hapatakuwa patamu as before. Huyu mama amekaa mjengoni sana na kwa mawazo yangu!angekuwa kichwa siku nyingi angekuwa speaker.I think thithiem wamechoka na wanachinjiana baharini wenyewe hasa kwa kummwaga sita. Ushauri wangu ni kwa wapinzani kujipanga as wataneemeka sana na huu mparanganyiko.
 

chanai

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2010
Messages
279
Likes
0
Points
0

chanai

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2010
279 0 0
wote mlioandika kuhusu wakina mama mnahitaji msaada wa uelewa kwamba binadamu wote ni sawa na wanamama ndio wenye busara kuliko zenu mmejionyesha kwa uandishi wenu wa kudhrau wanawake. POLENI NATAMANI MUENDE KOZI YA GENDER. NADHANI HAMJASOMA POLENI SANA . pIA HAMNA HESHIMA . ppOLENI SANA NA nIMEWASAMEHE BURE
 

Forum statistics

Threads 1,204,548
Members 457,361
Posts 28,162,572