Bunge la 10 likiongozwa na mwanamama Tegemeeni kusikia haya hapa kwa Spika

mzalendo2

Senior Member
Oct 28, 2010
119
5
bunge la mwaka huu likiongozwa na mwanamke tegemea kusikia maneno ya kitchen party bungeni kama!!!!!!!!!
"muheshimiwa waziri heshima yako inashuka"
"muheshimiwa mbunge limekuganda"
"muheshimiwa zitto unikome kama ulivyolikoma titi la mama yako"
"muheshimiwa utajiju"
..."muheshimiwa unalo"............ongezeni mengine jamani!!!!!!!
 
Anna Makinda sio sampuli ya walina Sophia Simba ingawa wote wako CCM!!
 
mHESHIMIWA mBOWE INAONEKANA MTARIMBO UMELALA DORO HUNA HOJA UNALETA VIOJA BABU WEEE KAA CHINI
 
Bi halima mdee umekurupuka hata poda hujaeka unanuka kikwapa haya changia hoja, na mwaka huuu halo haloooo wapinzani mpo naona mmedorora
 
Kwa kweli bungeni hapatakuwa patamu as before. Huyu mama amekaa mjengoni sana na kwa mawazo yangu!angekuwa kichwa siku nyingi angekuwa speaker.I think thithiem wamechoka na wanachinjiana baharini wenyewe hasa kwa kummwaga sita. Ushauri wangu ni kwa wapinzani kujipanga as wataneemeka sana na huu mparanganyiko.
 
Una kiherehere kama nywele babu weeeeeeeeeeeeeeeee.......Y2K manjonjo...CCM mbona tarabu tupu jamaniiiiiiiiiiiii
 
mheshimiwa waziri jibu swali acha kihere here kama panya kaona wageni!kihere here hakihusu hapa!
 
Anna Makinda sio sampuli ya walina Sophia Simba ingawa wote wako CCM!!

mbona mimi sikuona tatizo la sofia? yale maneno alitamka nje ya bunge tena katika kikao cha ndani cha cha na ktika hali isiyokuwa rasmi, mnyonge mnyongeni lakini....
 
wote mlioandika kuhusu wakina mama mnahitaji msaada wa uelewa kwamba binadamu wote ni sawa na wanamama ndio wenye busara kuliko zenu mmejionyesha kwa uandishi wenu wa kudhrau wanawake. POLENI NATAMANI MUENDE KOZI YA GENDER. NADHANI HAMJASOMA POLENI SANA . pIA HAMNA HESHIMA . ppOLENI SANA NA nIMEWASAMEHE BURE
 
Kwa tarifa yeni acheni dharau na matusi, atawasuprise anna makind.Ndo mtajua kuwa anaweza.Big up annna makinda.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom