Bunge la 10 likiongozwa na mwanamama Tegemeeni kusikia haya hapa kwa Spika

wote mlioandika kuhusu wakina mama mnahitaji msaada wa uelewa kwamba binadamu wote ni sawa na wanamama ndio wenye busara kuliko zenu mmejionyesha kwa uandishi wenu wa kudhrau wanawake. POLENI NATAMANI MUENDE KOZI YA GENDER. NADHANI HAMJASOMA POLENI SANA . pIA HAMNA HESHIMA . ppOLENI SANA NA nIMEWASAMEHE BURE


Gender nini bwana?!!!! Gender waachieni wazungu, sio huku kwetu!!
 
Very interesting...

Na hizi ndio fikira za wataka mabadiliko.....no wonder tuna watu milioni kumi wenye kutamani lakini wasioamini katika umuhimu wa hayo mabadiliko
 
Teh Teh Teh,

MOD tuleteeni hii post kwenye Jokes, mkiweka post kama hizi huku kwenye siasa sisi wengine mnatunyima uhuru wa kucheka tunaopenda kusoma kwanza jukwaa la utani......

Real jamani nimecheka sana sana sana
 
Kama mdau alivyonena hapo juu si vyema kuwadharau wanawake ya kuwa hawana uwezo, wanao sana ndio maana wameweza hata kuwaangusha wanaume wengine majiboni..besides, hebu assume mnae msema angekua mama yako mzazi.

mama mzazi kitu kingne, mama unamweleza tu ajitoe,inamana hajui ama haoni(anne maki) anafanywa njia?daraja?mwepesi? Wa kutumiwa na CCM kupitisha maslah ya chama na kuzuia hoja nzito z kifisadi. Mama angu ntamwambia ajitoe
 
bunge la mwaka huu likiongozwa na mwanamke tegemea kusikia maneno ya kitchen party bungeni kama!!!!!!!!!
"muheshimiwa waziri heshima yako inashuka"
"muheshimiwa mbunge limekuganda"
"muheshimiwa zitto unikome kama ulivyolikoma titi la mama yako"
"muheshimiwa utajiju"
..."muheshimiwa unalo"............ongezeni mengine jamani!!!!!!!

Binafsi nategemea hii kauli mbiu:

"......Mh. Tundu Lissu, wewe ni mwanasheria uliyebobea. Na hii HOJA binafsi pamoja na makarasi kibao uliyoleta BUNGE langu haliko hapa kuyajadili. Kama unajihamini na huu ushahidi wako, tumia Taaluma yako kufungua kesi MAHAKAMANI"
 
Mwenye mamake Anne makinda amweleze na ajiandae kuaibika. Vinginevyo ajitoe,amejiingiza vitani
 
Kama mdau alivyonena hapo juu si vyema kuwadharau wanawake ya kuwa hawana uwezo, wanao sana ndio maana wameweza hata kuwaangusha wanaume wengine majiboni..besides, hebu assume mnae msema angekua mama yako mzazi.

Jamaa mmoja aliwahi kusema,nanukuu:''All women are foolish except my mother and my sister although they are foolish too"
Huyu jamaa anabainisha kuwa wanawake wote ni sawa(wapuuzi)isipokuwa mama yake na dada yake ingawa na wao ni wapuuzi vilevile!

Kuna kabila moja hapa Tanzania wanawake huwa hawakui kwa mwanamme hata akiwa bado anatambaa. Kwamba mwanamke lazima amuheshimu mwanamme na ampe shikamoo hata kama ni mtoto.Bibi kizee anatakiwa aangushe shikamoo kwa mvulana wa kindergatten.
Hawa watu naona wako sahihi maana wameamua kusimama upande wa Mungu! ''SIMPI RUHUSA YA MWANAMKE KUMTAWALA MWANAMME''
Read 1 Timthy 2:12-15
12But I suffer not a woman to teach, nor to usurp authority over the man, but to be in silence.

13For Adam was first formed, then Eve.
14And Adam was not deceived, but the woman being deceived was in the transgression. 15Notwithstanding she shall be saved in childbearing, if they continue in faith and charity and holiness with sobriety.

Mimi sitaki kuwa mhubiri wa Injili lakini:
Biblia imeweka wazi kabisa kwanini mwanamke hapashwi kupewa mamlaka au utawala juu ya mwaname/wanaume.Kwamba Adamu(mwanamme)aliumbwa kwanza halafu Eva(mwanamke) tena huyu Eva alitwaliwa kutoka ubavu wa Adamu,yeye hakufinyangwa kama Adamu,she was a by-product of Adam not a direct creation. Halafu Biblia inaendelea kufafanua tena kuwa Adamu HAKUDANGANYWA lakini MWANAMKE EVA ALIDANGANYWA AKAINGIA KWENYE KUKOSA NA KULETA LAANA HAPA DUNIANI! Kwa hiyo mwanamke hafai kupewa mamlaka maana ni rahisi KUDANGANYIKA. Anne Makinda ni mwanamke kwa hiyo ATADANGANYIKA TU,hiyo ni Biblia.

Tatizo la mwanadamu hataki kusikiliza kile Mungu anasema na ndiyo maana tunajikuta kwenye matatizo chungu nzima.
 
Makinda atafika mahala atashndwa-HAMADI

Nategemea siku moja kuona Anne Makinda akimwaga mchozi kuwa katukanwa,kazalilishwa na kakosewa adabu;''Uuuwii! Uuwii e mama yangu weee yaani wewe mhe.Zito ni mtoto wangu wa kukuzaa unanizalilisha, na wewe mhe.Tundu Lisu unaleta hoja hapa za madini kunizalilisha wakti mnajua kabisa mimi ni mama yenu,uuuwii leo nita walaani,lazima nimwage radhi hapa Bungen....uwiiiiuwiii!!!!!

Nategemea Mhe. Mizingo Pinda PM naye atakuwepo na yeye ataanza kutoa mchozi kwa nguvu huku akimbembeleza Spika Makinda akisema,''...basi Mama yetu pole saana hawa wapinzani wa CHADEMA hawana adabu kabisa hawaogopi hata mama zao.........."
 
Back
Top Bottom