Bunge la 10 likiongozwa na mwanamama Tegemeeni kusikia haya hapa kwa Spika

Uyu mama si mgeni bungeni so far nionavyo nothing good will come out of her leadership zaidi ya kuwakomalia wabunge wa upinzani na kuibeba CCM
 
wote mlioandika kuhusu wakina mama mnahitaji msaada wa uelewa kwamba binadamu wote ni sawa na wanamama ndio wenye busara kuliko zenu mmejionyesha kwa uandishi wenu wa kudhrau wanawake. POLENI NATAMANI MUENDE KOZI YA GENDER. NADHANI HAMJASOMA POLENI SANA . pIA HAMNA HESHIMA . ppOLENI SANA NA nIMEWASAMEHE BURE


Wakiongozwa na Lucy Kibaki, Sofia Simba, First Lady nk
 
babu ndesa ebu kaa huko huna hoja nywele kama kiberiti ha ha ha ha ha ha hii thread kiboko nimecheka kweli
 
Kama mdau alivyonena hapo juu si vyema kuwadharau wanawake ya kuwa hawana uwezo, wanao sana ndio maana wameweza hata kuwaangusha wanaume wengine majiboni..besides, hebu assume mnae msema angekua mama yako mzazi.
 
Kwa kweli JF imeingiliwa. This is too low for JF members kuwa wabaguzi kijinsia. Kwani mwanamke hawezi kuwa spika mzuri na mahiri?.
 
wenyewe ni mabingwa wa kutoa lugha za ajabu na kuoneana wivu......maneno kama hayo aliongea sofia simba...cha ajabu nini...
 
Anne Kilango shosti kabla hujajibu hoja vitenge vyako umenunua wapi? nimevipenda yaani umefunikaaaa
 
bunge la mwaka huu likiongozwa na mwanamke tegemea kusikia maneno ya kitchen party bungeni kama!!!!!!!!!
"muheshimiwa waziri heshima yako inashuka"
"muheshimiwa mbunge limekuganda"
"muheshimiwa zitto unikome kama ulivyolikoma titi la mama yako"
"muheshimiwa utajiju"
..."muheshimiwa unalo"............ongezeni mengine jamani!!!!!!!

Muheshimiwa unanikata shangaa?muh: utakufanalo kijiba cha rohooo
 
kwani tatizo la huyu mama nn????mbona hii thread imekaa kishabiki zaid???wanawake wanaweza!!!!!!!
 
Huu ni udhalilishaji wa kijinsia. Tuwe na heshima na staha kidogo.

Kama huyo mwanamke alochaguliwa una tatizo nae, muongelee yeye binafsi sio kuleta dharau za aina hii kwa wanawake wote.

Hamkuzaliwa nyie?

Shame on wanawake wote waliochangia kuendeleza upuuzi huu
 
Huu ni udhalilishaji wa kijinsia. Tuwe na heshima na staha kidogo.

Kama huyo mwanamke alochaguliwa una tatizo nae, muongelee yeye binafsi sio kuleta dharau za aina hii kwa wanawake wote.

Hamkuzaliwa nyie?

Shame on wanawake wote waliochangia kuendeleza upuuzi huu


pole ila ndivyo itavyokua
 
Kwa kweli bungeni hapatakuwa patamu as before. Huyu mama amekaa mjengoni sana na kwa mawazo yangu!angekuwa kichwa siku nyingi angekuwa speaker.I think thithiem wamechoka na wanachinjiana baharini wenyewe hasa kwa kummwaga sita. Ushauri wangu ni kwa wapinzani kujipanga as wataneemeka sana na huu mparanganyiko.

Natabiri kutokea masumbwi na kurushiana mayai viza ndani ya Bunge!!!!

Kwa jinsi nilivyomsoma huyu mama tangu akiwa Naibu Spika katika Bunge la awamu iliyopita, huwa ana jazba za harahaharaka. Kwa upande mwingine, Bunge la awamu hii linaonekana litakuwa moto zaidi ya lile lililopita. Hayo ni miongoni mwa mambo yanayonishawishi kutabiri au kubashiri kutokea kwa kivumbi na masumbwi ndani ya Bunge.

Spika mwenye jazba (asiye na kaba) + wabunge wenye kejeli na wasiojali maslahi ya umma (CCM) + wabunge machachari na wanaopigania maslahi ya umma/wananchi (upinzani) = Masumbwi na kurushiana mayai viza, viatu n.k. (kama ilivyowahi kutokea huko Korea na Kenya).
 
Usawa Upo na wakiwezeshwa wanaweza lakini pia Mungu hakuwa Mjinga kumuweka Mwanaume kama kiongozi na mchungaji wa famila kwa kuwa alishaona mapungufu ya kiumbe wake huyu mwenye Jinsia ya kike.
Mfano Mzuri mwanamke anapokuwa mjamzito huwa anafanya maamuzi hata yeye mwenyewe baadada ya kujifungua ukimuuliza ni kwanini alifanya vile anakuwa haelewi ni kitu gani kilimsukuma kufanya yale.
Ama hujawahi kumuona mwanamke akiwa kwenye Period anakuwa mtu ghadhabu na hasira muda wote,unategemea atafanya maamuzi gani akiwa kwenye chombo kikubwa kama hiki?
Si kwamba Sipendi tuwe viongozi wa kubwa lakini kuna vitu vingine hutuwezi kupingana na hali halisi kulingana na maumbile Mungu aliyotupa.
ALIMUUMBA ADAMU na AKUMUONGEZEA HAWA/EVER KUWA MSAIDIZI WAKE
 
Back
Top Bottom