Jtoss
Member
- Oct 17, 2012
- 60
- 10
Wala sijapenda taarifa za huyo katibu wa Bunge,haina maana ya kuficha kile ambacho kinafanyika ndani ya BUnge kwani mle ndani ya Bunge sio mahara pa siri,sioni sababu ya kutokuonyesha live au wanataka kuwa wana edit pale ambapo wataona kuwa wamezidiwa kwa hoja.Wala sio fair kabisa.Tunaelewa wanapigania matumbo yao,ili wananchi wasijue madudu yanaendelea selikalini.Ukifuatilia historia ya nchi nyingi zilizoingia kwenye vita utagundua kuna sababu nyingi zinapelekea kuingia huko ikiwemo na uongozi mbaya.Ila wakae wakitambua kuwa hiki ni kizazi cha dot.com sio kama kile cha enzi zile za zidumu fikra za mwenyekiti.Tahadhari yasije yakatokea kama yale ya Misri.