Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

:wof: HAHAHAHA UNAJUA NI KWELI WAMELEWA SANA MADARAKA NAKUSAHAO WAKO UKO BUNGE KUFANYA NINI ? THEY THINK THEY CAN DICTATE TO US AS TANZANIANS --- THAT HAS PASSED GONE WE WILL NOT TOLERATE THAT NONESENSE. WE TANZANIANS ARE TO TELL THEM WHAT WE WANT AND NOT THEM TO DICTATE TO US KABISA. WAJARIBU TUONE KAMA WATAEWEZA. WAJINGA SANA
 
Tena mm nilikuwa wa kwanza kumtumia sms ya kung`oka huyo mama................a.k.a kinda la sheria.
 
Katibu wa Bunge kwa hili la kuzuia kupata habari za Bungeni amechemsha sana,ni haki ya wananchi kupata taarifa ya vikao vya Bunge lao walilochagua-Nini kinaendelea Bungeni iongezwe vyombo vya habari ili kuonyesha kwa Ufasaha zaidi-Hii ndiyo Demokrasia na Kukomaa Kisiasa.Tatizo kubwa ni Wabunge wanaochangia hoja Hovyo na wengine aidha kuandaliwa kupoteza muda hoja za msingi yasijadiliwe.
 
Back
Top Bottom