Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

Ni bora wasitishe tuu. So far sijaona faida ya kurusha vikao vya bunge live.

Ni bora wawe wanajifungia na kafuli kabisa huko mjengoni waendelee kufanya wanayoyafanya.

Kwa wabunge tulionao, it will not really make a difference; sana sana watatusadia kutopoteza muda wa kufuatilia majadiliano yasiyokuwa na tija.
 
nimesikiza news star tv nawona kashilila anabwabwaja
hajajua madhara ya alichotangaza
this will cost him kikazi.ni ujinga kusema anatunyima habari live za bunge kukomesha wabunge
na sio kutukomesha sisi watazamaji.
I think atakuwa alikunywa ile kitu wanaita piwa,ngaro,supu ya mawe,machozi ya simba kabla hajaongea
 
Wananchi wote tusikubali hawa magamba kutukatili matangazo.Naomba upinzani msikubali kikao chochote kuendelea mpaka matangazo yawe live.Kwanini mnatukatili sisi wananchi hoja za msingi mnazibania hoja za magamba ndio zinasikilizwa tu.Hoja za msingi elimu na maji mnazibania.
 
katibu wa bunge dr kashilila atangaza kurejea mfumo wa kizamani wa kurekodi na kuedit kudhibiti mmomonyoko wa maadili.
analogy to digital na huu ujinga tutafika kweli
 
Katika kile alichodai ni kuthibiti vurugu za wabunge Katibu wa Bunge amesema wanakusudia kufuta utaratibu wa kurusha Live vipindi vya Bunge kupitia Televison. Dk Kashilila ameyasema hayo kupitia taarrifa ya habari ya Star Tv amabpo pamoja na mambo mengine amezungumzia kuhusu kuvunjwa kwa kamati kama vile POAC kwa maelezo kwamba zilikuwa zinaingilia majukumu ya kiutendaji ya serikali.

Note: Huku tukilazimishwa kuingia kwenye mfumo wa digitali kuna watu wanataka kuturudisha kwenye ujima
 
Walifute bunge kabisa. Halina tena maana kwetu wananchi.
.
 
Utawala wa Kikwete unatengeneza historia chungu kwa nchi yetu. Utawala pekee tulioshuhudia matumizi makubwa ya nguvu kuliko hoja, utawala uliogubikwa na vurugu za kidini na mauaji ya wapinzania, ukandamizaji mkubwa wa demokrasia na uhuru wa habari. Utawala ulioongoza kwa vitisho dhidi ya vyombo vya habari na mauaji na utesaji wa watetea haki. Kikwete ana hulka za kizamani na zilizopitwa na wakati, za kutaka asifiwe na kutukuzwa hata pale asipostahili.

Sasa kuona serikali yake inapata changamoto ndiyo anaona njia nzuri ni kuwanyima watanzania uhuru wa kupata habari, ili vyombo vya habari vionyeshe bunge lililochakachuliwa. Hii yote ni kuhangaika kutaka kazi inayofanywa na upinzani, isionekane. Nitakuwa mstari wa mbele kuandamana kwenda Ikulu na Bungeni Dodoma kupinga uhuni huu.
 
Ni bora wasitishe tuu. So far sijaona faida ya kurusha vikao vya bunge live.

Ni bora wawe wanajifungia na kafuli kabisa huko mjengoni waendelee kufanya wanayoyafanya.

Kwa wabunge tulionao, it will not really make a difference; sana sana watatusadia kutopoteza muda wa kufuatilia majadiliano yasiyokuwa na tija.

Hahahaaa.

This was the comic relief take I take?

If so, and now for the more litigious.

Do we have a Freedom of Information Act? If not why is the opposition sleeping?

I am thinking this may even be abstract now, but we need the necessary standards to propell progress, if not right away, then for posterity.

Kuna siku niliambiwa Kigwa kamshambulia Tundu Lissu nikatafuta clip, kama niliyoipata ndo yenyewe the case was grossly exaggerated, as much as I like to hold Kigwa accountable.

Wakianza ku ban live coverage na kuona kina EMT wako apathetic, wanawaambia go ahead close the whole thing, they may take EMT up on his offer and top it up a notch.

Next thing you know wanasheria wote wanatakiwa kuthibitishwa na Spika kwa sababu za usalama wa taifa.

For lack of trying sjoelaces a kingdom was lost. For lack of patching a needle size hole a dyke fell.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nilikuwa naangalia taarifa ya Habari muda huu star TV,mwenyekiti wa Bunge Thomas Kashilila ametangaza Bunge kusitisha kurusha matangazo ya moja kwa moja kisa eti baadhi ya wabunge wanatafuta umaarufu!Kweli hyo ni hoja ya msing?Kashilila me naona unajimaliza kisiasa wewe na chama chako!Utadhani una mavi kichwani?umeshauriana na mke wako?au umetumwa na liccm?Ujinga mtupu hamuwezi kuzuia upepo wa wapinzani hvyo!
 
Huwezi kupingana na TEKNOLOJIA kwa kusimamisha matangazo "LIVE" . kwa kusimamisha matangazo TUTAKUWA TUNARUDI NYUMA AU TUNAKWENDA MBELE?
 
Tafadhali naomba tenda ya kuuza behind the scene za Bungeni....pia ntahakikisha zitapatika hewani kwa ajili ya kudownload kwa kiasi kidogo tu cha pesa....kila EPESOD Moja itagharimu sh. 20000 tu
 
Haya yapo Tanzania tu, hawa jamaa wanaona wao ni zaidi ya wananchi.
 
Back
Top Bottom