Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

Bunge kusitisha kurusha 'LIVE' vikao vyake!

Nafikiri sasa ni wakati muafaka wa kuendeleza harakati za kushurutisha serikali kupitisha ile sheria ya upatikanaji wa habari, maana sijui ile bill ilipotelea wapi.....wanasema watedit pumba....from which point of view? sisi wananchi ndio tunajua tunataka nini na sio wao......:confused2::confused2::confused2:
 
acha mahaba ya kijinga wewe,...nenda kapike wakati baba zako tunaongea mambo ya maana....umetoroka mirembe

Na wewe ni mwanaume mwenye familia,? Una dalili zote za kulelewa kama mume -----.!
 
Ujue siku zote chizi akigundua watu wanamuangalia ndio anazidisha vibweka,sasa tuone off camera kama kuna chizi atachafua hali ya hewa ya bunge letu.

Bunge lenu.....au bunge lao....ww sifuri kabisa...sisi tunataka kuona live kila kitu na hasa hao mnaofikiri wanachafua hali ya hewa, kwetu sisi ni mashujaa
 
tumechoka na ze comedy.
hata comedy wakifanya vitu halisi kuonyesha mapungufu yenu hamtaki.,bahati mbaya kwenu hayo mapungufu ndiyo wananchi wanataka kuyaona na kuyajua ili waweze kuchagua mbivu na mbichi,mbaya na nzuri pia anayewafaa na asiyewafaa.
 
[Amesema kuwa ili kuleta maadili kwa baadhi ya wabunge ambao wamekuwa wanashindwa kufuata kanuni za bunge na kutumia nafasi hiyo kwa kutafuta umaarufu kwa sasa wameomba kufutwa utaratibu wa kurusha matangazo ya bunge ya moja kwa moja badala yake watarekodi ili kuondoa hoja zisizokuwa za msingi.]
Hivi mtu asipofuata kanuni anakuwa maarufu? Bila shaka umaarufu unatokana na hoja ya msingi inayotolewa na Mbunge. Kwa hiyo kuzuia matangazo ya moja kwa moja ni kubaka haki ya kidemokrasia ya raia kupata ya kupata taarifa sahihi.
 
Hapa hakuna haki wanatunyima haki sisi wananchi tutaandamana hadi kieleweke. Kwanza hata huyo katibu ajiuzulu!
 
Dah! CCM mumefilisika kiasi hicho? What next? Jamii forum inaweza kuwa 'victim' CCM ya Mangula, Kinana na Asha Migiro!

Kweli 'wanawake wakiwezeshwa, wanaweza!
 
Habari yenyewe ilivyo ya makalioni hata ITV hawakuirusha. Kweli Makinda anatumia akili ya serikali, ni karagosi
 
Nadhani spika na naibu wake wameshindwa kuongoza bunge.JE SPIKA ASIYE NA CHAMA?HAITOFAA
 
hii lazima iwe mibunge mbumbumbu ya CCM ikijitahidi kuficha maovu ya ccm na serikali yao
 
Sishangai bse kama mikataba ni siri ata vikao vya bunge itakuwa siri. Huyu jamaa ana PHD ya kitu gani au ni docta wa mitishamba? CCM naona ata common sense kwao sio common Basi muwe mwaangalia mabunge ya nje basi maana mnapiga safri za nje ata hamjifunzi mtu anatapika na kuhara bungeni alafu mumvumilie tuu kisa kidumu chama cha mapinduzi. Ilo suala mtazua maandamano bse tuna haki ya kumonitor wabunge wetu kama wanafanya kilem tulichowatuma
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Wana JF heshima kwenu wakuu !!

Ni kheri mwenyezi Mungu akakunyima utajiri wa fedha na Mali lakini akakupatia AKILI. Tafadhali naomba mwenye full information atujuze Je huu U-dokta wa
Kashilila, ni U-dokta wa ukweli au ndo ule wa kupewa kitandani ?.
 
Mbona ni hatari kubwa kwa uhuru wa habari, kukiuka haki za wananchi. Kwa hili hata wale tunaowapelekea bakuli la msaada wa bajeti hawatokubali. Naona Tanzania inaelekea kuwa kama Misri.
 
Habari za kuvunja kanuni ni geresha tu. Hawa wanataka wadhibiti bunge bila kupata shaka ya kadamnasi inawaonaje.

Spika na Naibu wake washashtukia kwamba hata wakiweza kuwanyamazisha wabunge fulani kwa nguvu za kanuni, machoni pa Watanzania wengi wanaonekana kuwa ni wakandamizaji, tena si kwa comedy kama Masanja.

Kwa hiyo wameona suluhisho, ili waweze kuendeleza ubeberu bila kuhukumiwa na wananchi, cha kufanya ni kuondoa live coverage, ili kana kuna sehemu hawataki zionekane waziondoe.

What's next? Watataka makala zote zinazohusu bunge zipitie ofisi ya speaker kuwa checked kama hazina madhara?

Hiki ni kituko kwa jamii yote inayoamini katika uhuru wa vyombo vya habari.

Kama wabunge wanachemka waonyesheni ili tujue wanachemka wapi na vipi, tujue tuendelee kuwachagua au tuwatose.

Mnapoona nyinyi wanachemka wengine tutaona wanatutetea.

It looks like one of these days all TV broadcasting in the country will be banned. We are seriously heading back to the old dark days whereby chama kilikuwa kimeshika utamu. H
 
Hahahaaa.

This was the comic relief take I take?

If so, and now for the more litigious.

Do we have a Freedom of Information Act? If not why is the opposition sleeping?

I am thinking this may even be abstract now, but we need the necessary standards to propell progress, if not right away, then for posterity.

Kuna siku niliambiwa Kigwa kamshambulia Tundu Lissu nikatafuta clip, kama niliyoipata ndo yenyewe the case was grossly exaggerated, as much as I like to hold Kigwa accountable.

Wakianza ku ban live coverage na kuona kina EMT wako apathetic, wanawaambia go ahead close the whole thing, they may take EMT up on his offer and top it up a notch.

Next thing you know wanasheria wote wanatakiwa kuthibitishwa na Spika kwa sababu za usalama wa taifa.

For lack of trying sjoelaces a kingdom was lost. For lack of patching a needle size hole a dyke fell.

Even after they started televising the parliamentary proceedings, there was still resistance from the majority of the MPs.

If MPs debate and vote on the issue, they will overwhelmingly reject the idea of their proceedings being televised.

The majority will prefer the Parliament to be held in camera just like what happens in the court of law.

But their argument will be that "their concern is for the good reputation of the House".

The opposition MPs will chant "frit, frit, frit" but, as usual, that will not help.

In future, broadcasters will not even be allowed to show a close-up of "Mheshimiwa Spika".

Important occasions such as the budget and the occasional President's speeches should all be banned from all broadcast live on television.

At the end of the day kila kitu kitakuwa siri nchi hii.

Where is my TV remote control? Football is on. And it is live!
 
Back
Top Bottom