Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Wanaoibeza bukoba nawashangaa hotel za kitalii zimejaa kama elct bukoba hotel
 
wahaya ni taifa kubwa isipokuwa ccm na nyerere ndo kikwazo, lakini wanahistoria husema historia hujirudia IPO Siku wahaya watarudi kwenye peak
Kweli kabisa mkuu, kipindi kile serikali ilikuwa inaogopa kuleta maendeleo kwa sababu ya Fitina za serikali. Lakini sasa ivi ndio watatujua na sasa ivi tunawapanga vijana wetu wawe katika kujiajiri na Kuitumia elimu katika maswala ya ujasilia Mali. Tunawapanga katika kuwa katika system za ajira ambazo sio tegemezi kutoka serikalini
 
We jamaa mbona unawatia aibu wachaga wenzio. Hii Moshi ni kituko
hapa n wilaya ya rombo eneo linaitwa mamsera
pamechangamka sana hii picha imepigwa kijieneo cha pemben
piga pich halisi
mamsera pana soko LA ndizi na mbuzi,pana mzunguko mkubwa wa hela,pia pana ukumbi mkubwa wa mikutano uitwao Samaria hall,na pana jengo LA kncu chma cha ushirika,pia pana ma restaurant ya maana supu SAA 24
mfano kwa mwarabu,shia bar nk
piga picha full sio upoge kijieneo
mamsera ndio mwanzo wa rombo,imepita barabAra ya lami kwenda dar
 

Achana na washamba hao.....wanaokimbia kwao.....

 
Kemondo moja hiyo .stendi walishaanza kujenga hizo ni picha za tarehe 1 disemba sasa walishafika mbali sa hivi walishafika mbali sijaendako siku nyingi
At least Asee kale kastand ndo chanzo cha vumbi mjini pia halmashauri inashindwa kujenga b arabara za viwango mtaani wanamwaga tumoramu afu vibarabara vidogo kama voliongolelo wanatuangusha sana
 
Kwa mlingano wachaga wako vizur sana kwan wao ndio wajenz wa miji mingi zaid tz kwa sasa kwani hawa hata kwao hawapo wamesambaa nchi nzima wakisaka hela hivyo hata bk kiasi flan imejengwa na wachaga aoao so waheshimuni sana hawa watu
 
Acha kuvuta wewe. Mtu gani wa Bukoba alinganishe Bukoba au Mwanza (Kanda ya ziwa) na huo uchafu wenu wa kaskazini?? Ni kujishusha kabisa maana sisi tunajua tupo level tofauti kabisa. Angalieni nyuzi nyingi mnaanzisha nyie na mnagalagazwa. Mkome
Huu uzi kaanzisha nani? si mtu wa Bukoba huyu? pia nenda ka search nyuzi za Mwanza vs Arusha utaona ni watu hao hao wa Mwanza...Watu wa Moshi tuponde na kujivuna mkoa gani kwa lipi na wakati tupo kila mkoa?
Unajivunia mkoa umeendelea huku wanayofaidi hayo maendeleo ni waaarabu na wahindi na na nyie mkiwa mnalala na vinyesi vya ng'ombe?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…