Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
3ba908a4fd5b0b1e9ef122e2ab27d66a.jpg
6183edef531100ca0c82f809cb163c5e.jpg
c80bd1d11afb8025525c05788718feb1.jpg
de12a136d521b920e2770a031ecd0520.jpg

Ongelea figure kama hizi achana na ujinga wa kelele za vijengo vya ghorofa 3. ..fact never lay..
mkuu hapa umeuaa ukiwapa takwimu wanakimbia kuleta vi jengo walivyojenga kwa msaada wa rambirambi
 
nisipoweka picha itabadili ukwrli?
nyie watu n washamba sana takwimu xa kiuchumi huon mkoa wenu ulivyo hoi? au mnadhan uchum n huto tu gorofa tuwili mliojenga kwa msaada wa hela za rambirambi?
Kweli unaichukia bukoba na maendeleo yake aliyekwambia bk nikagera nzima ni nani ? Hata mwanza ni mkoa maskini lakini jiji ni la pili kwa ukubwa nchini.linaizidi mbali arusha na Kilimanjaro ambazo ni tajiri unaelewa vibaya data nadought elimu yako
 
Picha bro majungu ya nini ? Tunatangaza miji yetu na bado picha za bukoba hazijaisha data huwekwa na watu sio miungu.nyuzi huwa ni za kitalii zaidi bukoba inaizidi kupaa hebu nitajie mtaa gani bk hakuna lami.stendi ndo inakamilika mwezi mei.maji si shida bk.sasa kitu gani unaongea hapo shida wengi hawaamini kuwa ndo bukoba hawakutegemea.maana walishakaririshwa na chuki ni kubwa dhidi ya wahaya kisa maendeleo yao
Huoni picha maana wachaga hawana muda wakupoteza kuzungunga mji kupiga picha kuja kukuridhisha wewe hapa.. Yaan unamjua mchaga unamsikia ?? Aache kutafutabpesa apoteze dakika na muda kuzungukia mjini na maeneo yote kupiga picha ambazo hazimuongezei hela lkwenye maisha yake ..eti ili aje kujikweza hapa mtandaoni. Hahaha ata hizo ulizo ona hapo juu walio post nizile amabzo wanazo kwenye simu siku nyingi walzo rushiwa na ndugu zao wakati ilo njengo la NSSF lilpozinduliwa wengibwao wakio mikoani kutafuta maisha tu ndio maana una ona wengi hawana picha zakupiga sana sana utaona amegoogle tu akapiga ile ya satilite .. No time to waste for no gain.. Nyie tu wahaya wapenda sifa ndio mna muda wakutafuta sifa kwa gharama yoyote.. Keep it up..
 
Jaman tambueni kwamba hakuna MTU mwenye sifa kama muhaya kwahiyo hamna uwiano WA mpenda maendeleo na mpenda sifa kwahiyo tuwaache na vipicha vyao vya majengo mawili
 
mnachekesha
itachukua miaka 50 bk ifikie mosh ktk nyanja za maendeleo
Wachaga mlivyo wagumu, ndio Maana watu hawafungui vitu vya Maana Kwa sababu hakuna watu wa bata (starehe). Na ndio Maana Kilimanjaro panaitwa vijiji vya wagumu na hii inadhihirisha kuanzia Simu mnazotumia hazina uwezo wa kupiga picha, mmeenda Kilimanjaro kutambikia majini mnashindwa hata kupiga picha
 
Huoni picha maana wachaga hawana muda wakupoteza kuzungunga mji kupiga picha kuja kukuridhisha wewe hapa.. Yaan unamjua mchaga unamsikia ?? Aache kutafutabpesa apoteze dakika na muda kuzungukia mjini na maeneo yote kupiga picha ambazo hazimuongezei hela lkwenye maisha yake ..eti ili aje kujikweza hapa mtandaoni. Hahaha ata hizo ulizo ona hapo juu walio post nizile amabzo wanazo kwenye simu siku nyingi walzo rushiwa na ndugu zao wakati ilo njengo la NSSF lilpozinduliwa wengibwao wakio mikoani kutafuta maisha tu ndio maana una ona wengi hawana picha zakupiga sana sana utaona amegoogle tu akapiga ile ya satilite .. No time to waste for no gain.. Nyie tu wahaya wapenda sifa ndio mna muda wakutafuta sifa kwa gharama yoyote.. Keep it up..
Nimeelewa Leo kwa nini hata mlima wetu wanasema uko Kenya yaani watu wanaiba vivutio vyetu kwa sababu ya sisi kutovitangaza vitu vyetu.ushauri hiyo tabia sio nzr na inarudisha sekta ya utalii nyumba na kupunguza mapato.napenda sana walioanzisha nyuzi kutangaza miji na mikoa yao mfano mwanza,arusha,mbeya,iringa nk wanatangaza mikoa yao na hivyo kuukuza utalii wa ndani na nje.we unasema kupenda sifa sawa mlishakaririshwa hivyo kuwa wahaya wanapenda sifa.hila sifa SAA nyingine zinasaidia hivi uone Kenya walivyopiga hatua kwa sababu ya kupenda sifa ya kutambuliwa kimataifa tena inapendeza zaidi zikiwa za kweli .mwisho watz tubadilike tupende vya kwetu anzisheni blog za kutangaza vivutio vyetu.post mitandaoni hiyo inakuza utalii wachaga na wenyeji wa moshi piga picha na tangazeni vivutio mlivyo navyo ili kukuza utalii na sio kubaki na majivuno tu ya maneno bishana kwa picha ili kuitangaza tz.
 
Sidanganyi mkuu we waambie waweke picha, mwanzoni mwa huu uzi walizidiwa wakaweka majengo ya Iringa na arusha sasa wahaya wamejaa huko wakawaumbua ikabidi wasepe hawakurudi tena sasa hv wamebaki kuongea tu
Simu zenyewe zenye Camera, wanazo walivyo wabairi. Wanaingia kwenye Jamii Forum Kwa laptop za kuazima. Ubairi sana na ndio Maana Kilimanjaro inaitwa mkoa wa wagumu
 
Jaman tambueni kwamba hakuna MTU mwenye sifa kama muhaya kwahiyo hamna uwiano WA mpenda maendeleo na mpenda sifa kwahiyo tuwaache na vipicha vyao vya majengo mawili
Ila sifa hizo zinatangaza bukoba na kukua kitalii.moshi hamna uzalendo wa kutangaza mji wenu na KLM mpaka wanasema mlima uko Kenya mnatuabisha sana
 
750b02af5bc45a9a8620b3ad36e1deb1.jpg
na hiyo nini au sio GDP tazama kagera ya ngapi ulinganishe na KLM pamoja ya kuwa na mlima.tena bk inajijengea stendi yake kwa kutumia own source sio misaada iliyotumika kujenga stendi yenu iliyojengwa hovyo subiri ya kyakairabwa imalizwe mwaka ni mtaona watu wa bk wasivyopapuka kuparamia miradi
yaani kelele zote za wachaga juu ya GDP ya Moshi vs Bukoba kwa mujibu wa TRA kumbe takwimu zenyewe ndo hizi!!! Basi hii sio point tena. Wachaga leteni nyingine, hapa naona mnaelekea kugalagazwa maana mlichokuwa mnakitambia kimewaaibisha. Poleni lakini. Msidhani wenzenu hawajui kusoma takwimu.
 
Wahaya .. Mnatatizo lasifa, na ndio maana hamna maendeleo.. Mmebaki kuoiga picha majengo waketi wenzenu wakilimanjaro mji ulisha jengengeka miaka mingi kwa sasa wachaga wana pambana kukuza vijiji nyiyi mnahangaika na vijengo vya mjini vipya ndio vina gorofa tatu.. Wakati kilimanjaro kwanzia miaka ya 1980 walishakuwa na majengo ya gorofa 12. Tena mengi..

Sasa hivi tunajipima kwa maendeleo ya data, uchumi wa mkoa, mahitaji ya jamii, pato la mtu mmoja mmoja.. Miundo mbinu yenye hadhi ya kisasa. Maisha bora ya kipato cha kati..

Tafuta data zakitaifa kujua mkoa wako uko level gani kwa kufanya rejea ya hayo niloyoandika hapo .. Achana na vijengo vya kijinga wakati miundombinu ya barabara, maji, pato la jamii yako, vyoo tu tatizo mkoa aslimia 79 hawana vyoo bora, huu tu ni ishara tosha kuwa bado hamja staarabika .. Kilimanjaro asilimia 13 tu ndio haina choo bora ..miundo mbinu ya bara bara, maji na elimu tuko 97 % tunaongoza kitaifa uko bukoba kwenun mko 37% .. Tafuta data kaka wewe jipambanishe na lindi ndio figa zenu zina kimbuliana
Data za uongo izo weka Link, mbali na hapo ni sawa na Mwanaume msasambuaji katika vigodoro. Takwimu za watu kutokuwa na vyoo kwa Kilimanjaro ni 56% hawana vyoo bora unadanganya mpaka aibu. Wachaga vipaji vyenu ni wizi lakini mambo ya kitafiti waachaie Wahaya watu wenye akili Tanzania
 
hayo sindano imekuingia!!! Sasa kwa akili yako utamshawishi vp mtu ambaye yuko katavi kwamba aje kula bata moshi na si bukoba???
Wambie maana hawajui kuwa picha ni muhimu hasa kwenye utalii nimeona kwa nini na mlima wetu unapelekwa Kenya kwa sababu ya ujinga wa kuamini takwimu.takwimu zenyewe haziwasaidii nani afikirie kuwekeza moshi.bukoba hata kama wahaya hawajengi ipasavyo lakini kuna wawekezaji wa kinywarwanda, kiganda,kinyambo,nyankole hata kama watz hawapendi wahaya na kuwaogopa watu wa nchi jirani wanawekeza hasa wanyarwanda ikichukuliwa nchi yao imejaa hivyo bukoba ndo kimbilio na wanaomba uraia
 
Wakati upande mmoja ukionesha usomi wa kupangua hoja na kuweka evidence za picha, naona upande wa pili akina mangi wanabwabwaja tu kutafuta sapoti kwa wasioijua hii miji miwili.

Mi sioni haja ya kuonesha umahili wa kutumia lugha katika kusifia au kuponda wakati watu wanataka wapambanishe tangibles na sio maneno.

Tukitazama points na evidence Moshi mshapigwa siku nyingi sana. Mmebaki na 'huwezi faanisha Moshi na uchafu (kwa lafudhi ya kichaga)" "usifananishe Moshi na ujinga (kwa lafudhi ya kichaga)

Kwa taarifa yenu tu niwasaidie, Moshi ni kamji ambako kanapendeza sana sehem ndogo sana ya mji hapo katikati, ila ukipiga hatua kidogo hamna kitu na ndio maana hata nyinyi wenyewe wachaga mnakosa picha nyingi za kutuma. Ukitaka kutuma picha flani unakuta mwenzio ashaituma!

Tukiacha manene Bukoba ni pana na imejengeka sehem nyingi na inazidi kupanuka.

Hapo nazungumzia mjini tu. Nikizungumzia vijiji vya wahaya vs vya wachaga vimeelekeana ila vya wahaya vipo juu zaidi. Kuna vijiji ukifika unadhani ni town! Huduma zote zipo kijijini hadi Posta na line za simu za TTCL!

Ni vizuri kufika sehemu kuliko kutumia experience ya mwenzio. Ba ukifika sehem jitahidi kuzunguka kuona maeneo, usi jaji sehem yote basing on hapo ulipofikia.
 
And imagine Moshi utalii unaibeba sana but nothing nothing more to Bukoba. Kuna bahadhi ya Hotels zipo Moshi huwezi zikuta Bk kwa sababu ya utalii kuwa mkubwa zaidi Moshi kuliko Bukoba, but that doesn't mean Bukoba hakuna big hotels. On the other hand ubora wa mji sio mahotel tu.

Nilichogundua sana katika huu uzi wachaga wengi hawaijui Bukoba.
 
Huoni picha maana wachaga hawana muda wakupoteza kuzungunga mji kupiga picha kuja kukuridhisha wewe hapa.. Yaan unamjua mchaga unamsikia ?? Aache kutafutabpesa apoteze dakika na muda kuzungukia mjini na maeneo yote kupiga picha ambazo hazimuongezei hela lkwenye maisha yake ..eti ili aje kujikweza hapa mtandaoni. Hahaha ata hizo ulizo ona hapo juu walio post nizile amabzo wanazo kwenye simu siku nyingi walzo rushiwa na ndugu zao wakati ilo njengo la NSSF lilpozinduliwa wengibwao wakio mikoani kutafuta maisha tu ndio maana una ona wengi hawana picha zakupiga sana sana utaona amegoogle tu akapiga ile ya satilite .. No time to waste for no gain.. Nyie tu wahaya wapenda sifa ndio mna muda wakutafuta sifa kwa gharama yoyote.. Keep it up..
Haha!! Hawana muda wa kupiga picha ila wana muda wa kupiga umbea hapa jf kwa kuanzisha mada za kutukana wenzao!!? Sijajua kama hiz ndo tabia za wachagga wote au ni wachache wasio na kazi za kufanya
 
Hujui usemalo na bukoba unaisikia tu redioni .nilishasema siku nyingi wachaga siku hizi MNA majivuno mengi sana na matusi mengi bukoba ingekuwa haina kitu ingehitaji meli kubwa zenye uwezo wa kubeba watu 3000 zote wa kuelekea huko INA maana wanaenda kufanya nini wakati moshi mabasi hata watu miatano hawafiki kwa siku ikizingatiwa na bukoba mabasi yapo
Nikweli moshi wanakwenda wenye akili na kazi maalumu,,kibali chakwenda moshi ukipate nikazi sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom