Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
n kichaa pekee anaweza fananisha mji msafi kuliko yote tz yaan moshi na ka mji kalikodumaa bukoba ambKo hata stand tu ya mabasi n vumbi
mzunguko wa hela moshi b Mara 500 ya bukba
moshi INA biashara nyingi mno
makampun makbw yapo moshi
bukoba tetemko liliwaumbua vijumba vya ajabu mjin
Sababu yenu huwa ile ile stendi tu hata yenyewe inajengwa nyingine kyakairabwa km 7 kutoka mjini tazama ujenzi wake ulipokuwa umefikia wiki iyopita
7c5bc23b40af70dc2b1ee23074720723.jpg
9f3e1215e0237ecd5073809a249274bc.jpg
1e6e64286a5ff4c4ee4f50698a7d59ad.jpg
55995d2bcbf15b94ee50c8099a6f45cc.jpg
leteni picha udaku wa nini tunataka picha maneno ni rahisi kuyasema
 
n kichaa pekee anaweza fananisha mji msafi kuliko yote tz yaan moshi na ka mji kalikodumaa bukoba ambKo hata stand tu ya mabasi n vumbi
mzunguko wa hela moshi b Mara 500 ya bukba
moshi INA biashara nyingi mno
makampun makbw yapo moshi
bukoba tetemko liliwaumbua vijumba vya ajabu mjin
Usitumie matusi bro huo ni ushamba leta picha za hayo unayoyasema usiwe kama MTU asiye binadamu habu nikuulize ulishawahi kuexprience tetemeko au unafikiri ni kitu kidogo matusi kama hayo ni dalili ya laana mbaya kwako.usitolee tetemeko kama mfano lingemuchukua mama yako ndo ungejua uyasemalo usibadirishe mantiki ya Uzi huu wenye lengo kubwa la kutangaza miji hii sio matusi leta picha za moshi nami ntaleta za bkb hapo ndo tutajudge sio matusi jamii forum sio kijiwe cha matusi
 
n kichaa pekee anaweza fananisha mji msafi kuliko yote tz yaan moshi na ka mji kalikodumaa bukoba ambKo hata stand tu ya mabasi n vumbi
mzunguko wa hela moshi b Mara 500 ya bukba
moshi INA biashara nyingi mno
makampun makbw yapo moshi
bukoba tetemko liliwaumbua vijumba vya ajabu mjin
Leta picha za makampuni hayo na mji sio maneno kama hizi bro.hii ni bk bro
b744f4c467fbdbe0dbabb047abc60d7f.jpg
2b3bcddeeaed0b3f58ce762d22530e8b.jpg
83499f48665c54a31d758074ea0e52aa.jpg
5c1eb674242217ef99a3794b454661fc.jpg
8cc3be43b8c327aea9e07b0dd6d5c573.jpg
4607c4e2405c1d0d8dbd03d1abcf5726.jpg
 
ingia web ya tra uangalie kati ya mishi na bukoba n IPI inachangia hela nyingi kwa maana y GDP then urd hapa
bukoba n ka mji ka hovyo kuwahi kutokea yaan stand n vumbi vijumba vimebanana utdhan hakuna mpango mji
nenda moshi uone mijengo ilivyopangiliwa
750b02af5bc45a9a8620b3ad36e1deb1.jpg
na hiyo nini au sio GDP tazama kagera ya ngapi ulinganishe na KLM pamoja ya kuwa na mlima.tena bk inajijengea stendi yake kwa kutumia own source sio misaada iliyotumika kujenga stendi yenu iliyojengwa hovyo subiri ya kyakairabwa imalizwe mwaka ni mtaona watu wa bk wasivyopapuka kuparamia miradi
 
Mji wa hovyo kivipi hizo picha huzioni au huamini
 
750b02af5bc45a9a8620b3ad36e1deb1.jpg
na hiyo nini au sio GDP tazama kagera ya ngapi ulinganishe na KLM pamoja ya kuwa na mlima.tena bk inajijengea stendi yake kwa kutumia own source sio misaada iliyotumika kujenga stendi yenu iliyojengwa hovyo subiri ya kyakairabwa imalizwe mwaka ni mtaona watu wa bk wasivyopapuka kuparamia miradi
naona huelewi
hapa c tunajadili moshi vs bukoba?
hapo kwenye gazeti n Kilimanjaro vs kagera
leta ya mosh vs bukb
 
750b02af5bc45a9a8620b3ad36e1deb1.jpg
na hiyo nini au sio GDP tazama kagera ya ngapi ulinganishe na KLM pamoja ya kuwa na mlima.tena bk inajijengea stendi yake kwa kutumia own source sio misaada iliyotumika kujenga stendi yenu iliyojengwa hovyo subiri ya kyakairabwa imalizwe mwaka ni mtaona watu wa bk wasivyopapuka kuparamia miradi
stand ya moshi n miongon mwa stand za kisasa KBS tz
magari karibi ya mikoa yote tz hutus ktk mji wa wajanja na mji msafi kuliko yote tz moshi
 
Leta picha za makampuni hayo na mji sio maneno kama hizi bro.hii ni bk bro
b744f4c467fbdbe0dbabb047abc60d7f.jpg
2b3bcddeeaed0b3f58ce762d22530e8b.jpg
83499f48665c54a31d758074ea0e52aa.jpg
5c1eb674242217ef99a3794b454661fc.jpg
8cc3be43b8c327aea9e07b0dd6d5c573.jpg
4607c4e2405c1d0d8dbd03d1abcf5726.jpg
hivyo vi gofu kufananisha na ile mijengo ya moshi utachekwa
yaan vi gofu vya miaka ya 70 ufananishe na like migorofa pale moshi?
nssf ya moshi ndio jengo kubwa kuliko yote tz cjui kama una hbr kikwete alilifungua 2014
 
Kwa nssf moshi kuwa jengo kubw tz hapana huo uongo what about nssf hotel mwanza 16floors n still sio refu tz
 
hivyo vi gofu kufananisha na ile mijengo ya moshi utachekwa
yaan vi gofu vya miaka ya 70 ufananishe na like migorofa pale moshi?
nssf ya moshi ndio jengo kubwa kuliko yote tz cjui kama una hbr kikwete alilifungua 2014
Mji nzima wa moshi kuna jengo moja tu la maana mengine tazama bk ndo kuna jengo la airport zuri zaidi bongo,uwanja wa mpira mzr na bora wa tatu tz, na bukoba kuna nssf pia
869b1ea93dea9c90bb51c5492b36bb4b.jpg
8fb6f715ae5fd376710a01f7aae0e7c4.jpg
bd9e06ce609b7039c8305af6ef3b003a.jpg
rwabizi plaza
83200bdd25c7c8ce82026f48aef7cb1c.jpg
coffee
2a6939a112558d67d58c30ec21e16295.jpg
jengo la ccm bado ujenzi unaendeleq
036b8be17e2a29bb51f3f30fc71673c0.jpg
mahakama kuu
ba497ae58afbacf69a743caaa3611135.jpg
kolping
d59296ab85c1a71159a9e871ac9520e2.jpg
96a40a67bbcebc6e3e2679a2b3b65df5.jpg
81e42944f1b3d0ac8064a6b690de7836.jpg
19f15232de9ef1ffa97b791b8db345bf.jpg
ca9d095a0ece4a26703bf9b7ede216fc.jpg
3430fe9c1598b2adeb60c30ae39edec7.jpg
204cb268bd5708ce7929a9ce6549adc6.jpg
leta moshi sio porojo
 
hivyo vi gofu kufananisha na ile mijengo ya moshi utachekwa
yaan vi gofu vya miaka ya 70 ufananishe na like migorofa pale moshi?
nssf ya moshi ndio jengo kubwa kuliko yote tz cjui kama una hbr kikwete alilifungua 2014
Huyu jamaa muumpuuuze, ana akili ndogo na bado ajatembea na anakaa kwa shemeji yake. Sasa kubishana na mtu kama huyu no kupoteza muda. Watu wameweka picha za kagera yeye kashindwa kuweka picha za Kilimanjaro
 
stand ya moshi n miongon mwa stand za kisasa KBS tz
magari karibi ya mikoa yote tz hutus ktk mji wa wajanja na mji msafi kuliko yote tz moshi
Stendi inayojengwa kyakairabwa bukoba mbona itaigalagaza hata Kilimanjaro airport subiri ikamilike mwezi mei
 
yaan sisi wenye stand kubwa na ya kisasa tumekaa kmya we stand yako hata haijakamilika unajikosha sasa c unaonekana mshamba?
stand ya moshi tayari n ya kisasa na n kubw sana maana magari karibu ya mikoa yote tz yanafika moshi
2_nyie wenyeji wa bkba mnajenga stand lakin Hanna magari hususan mabasi yaan mabasi yanayoenda bukoba n ya wagen sasa nyie hamjui kuchangamkia fursa
mabasi yaendayo moshi/arusha 99% n ya wenyeji
na tena mabasi yanayokuja bkba mengi ya watu wa moshi mfano Osaka,prince muro,kidia one
 
Huyu jamaa muumpuuuze, ana akili ndogo na bado ajatembea na anakaa kwa shemeji yake. Sasa kubishana na mtu kama huyu no kupoteza muda. Watu wameweka picha za kagera yeye kashindwa kuweka picha za Kilimanjaro
1_kutokuweka picha hakubadilishi ukweli
2_n kichaa pekee anaweza fananisha mji msafi kuliko yote tz na uliopangiliwa vyema moshi na huko uchochoroni bukoba ambako n vumbi Tupu hadi stand kuu n vumbi
3_mji wa bukoba hauna daladala
4_hizo picha za vigofu mnavyopost nawacheka tu moshi mihotel ya nyota tano telee gorofa had I 15 nawachora tu maana najua nyie n watu wa sifa ukiwa na milion unaesza sema una bilion
5_mji wa moshi una sifa zote za kuwa jiji isipokua kigezo cha ukubwa tu,bukoba imefeli vigezo karibu kumi vya kuwa jiji
 
750b02af5bc45a9a8620b3ad36e1deb1.jpg
na hiyo nini au sio GDP tazama kagera ya ngapi ulinganishe na KLM pamoja ya kuwa na mlima.tena bk inajijengea stendi yake kwa kutumia own source sio misaada iliyotumika kujenga stendi yenu iliyojengwa hovyo subiri ya kyakairabwa imalizwe mwaka ni mtaona watu wa bk wasivyopapuka kuparamia miradi
utakua ni mpumbavu wa mwisho kuona hiyo GDP ya Knjaro na BK zinaendana
 
1_kutokuweka picha hakubadilishi ukweli
2_n kichaa pekee anaweza fananisha mji msafi kuliko yote tz na uliopangiliwa vyema moshi na huko uchochoroni bukoba ambako n vumbi Tupu hadi stand kuu n vumbi
3_mji wa bukoba hauna daladala
4_hizo picha za vigofu mnavyopost nawacheka tu moshi mihotel ya nyota tano telee gorofa had I 15 nawachora tu maana najua nyie n watu wa sifa ukiwa na milion unaesza sema una bilion
5_mji wa moshi una sifa zote za kuwa jiji isipokua kigezo cha ukubwa tu,bukoba imefeli vigezo karibu kumi vya kuwa jiji
Aliyekwambia bk hakuna daladala nani tena za moshi SAA zima unasubiri zijae sio kama bk dk mbili mshaondoka.stendi nilishakwambia inajengwa mpya.halafu mbona unatumia lugha chafu hivyo hii inaonyesha kutokukomaa kwako hebu niache mabishano na wewe maana hujakua bado na kustaarabika bado mtoto kumbe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom