Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
mnachekesha
itachukua miaka 50 bk ifikie mosh ktk nyanja za maendeleo
ushamba bhana
kwenu nyie hicho kijengo ndo mjengo mkali duh
Shida una porojo nyingi hakuna picha sisi tunaendelea kuwaletea picha na bado zimejaa bukoba ni kubwa sana na majengo mengine hayaonekani faster ukiwa bk ila yamefichwa na milima
 
mnachekesha
itachukua miaka 50 bk ifikie mosh ktk nyanja za maendeleo
ushamba bhana
kwenu nyie hicho kijengo ndo mjengo mkali duh
Ihungo unaifahamu wewe? Hujui kwamba pesa za rambirambi ndo zilijenga pale.ni sehemu exciting sana ukiwa bk.tazama mlima wa ihungo
 
Kumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
Wewe unalinganisha mchana na usiku au mlima Kilimanjaro na kichuguu Moshi huwezi linanganisha na Bukoba kabisa
 
Karibu bukoba
abd705c73c772c145eac37afe02c25f5.jpg
80b1693c7c6329794441d0b269507cd1.jpg
04fc1a1856aca6455281baddb3c8a105.jpg
9141592a7a944bcb32c7116552c23153.jpg
9307e34901a68653a38b50bc785f96bc.jpg
d5e9305de733053e8adbc28a31fc4cae.jpg
5229ed7f4e91f997a1bf91d93f27430b.jpg
4a3899b31d6fbd762dd938c3a33876e1.jpg
58326ee22f7a0f891a86945e17e93e33.jpg
83ea5c53fef32b437e7af5e7409f7576.jpg
47734e5ccb24e313d6513a972fc4b45a.jpg
659a92b8e0f85a2368c5222fc1052fcd.jpg
36cfba0255b46263c834da86fa518307.jpg
96ae9e4bc746eba7c2e49380b43c8801.jpg
d86baba1583069ff31e1cb2e181bec27.jpg
 
Wahaya .. Mnatatizo lasifa, na ndio maana hamna maendeleo.. Mmebaki kuoiga picha majengo waketi wenzenu wakilimanjaro mji ulisha jengengeka miaka mingi kwa sasa wachaga wana pambana kukuza vijiji nyiyi mnahangaika na vijengo vya mjini vipya ndio vina gorofa tatu.. Wakati kilimanjaro kwanzia miaka ya 1980 walishakuwa na majengo ya gorofa 12. Tena mengi..

Sasa hivi tunajipima kwa maendeleo ya data, uchumi wa mkoa, mahitaji ya jamii, pato la mtu mmoja mmoja.. Miundo mbinu yenye hadhi ya kisasa. Maisha bora ya kipato cha kati..

Tafuta data zakitaifa kujua mkoa wako uko level gani kwa kufanya rejea ya hayo niloyoandika hapo .. Achana na vijengo vya kijinga wakati miundombinu ya barabara, maji, pato la jamii yako, vyoo tu tatizo mkoa aslimia 79 hawana vyoo bora, huu tu ni ishara tosha kuwa bado hamja staarabika .. Kilimanjaro asilimia 13 tu ndio haina choo bora ..miundo mbinu ya bara bara, maji na elimu tuko 97 % tunaongoza kitaifa uko bukoba kwenun mko 37% .. Tafuta data kaka wewe jipambanishe na lindi ndio figa zenu zina kimbuliana
 
3ba908a4fd5b0b1e9ef122e2ab27d66a.jpg
6183edef531100ca0c82f809cb163c5e.jpg
c80bd1d11afb8025525c05788718feb1.jpg
de12a136d521b920e2770a031ecd0520.jpg

Ongelea figure kama hizi achana na ujinga wa kelele za vijengo vya ghorofa 3. ..fact never lay..
 
Wahaya .. Mnatatizo lasifa, na ndio maana hamna maendeleo.. Mmebaki kuoiga picha majengo waketi wenzenu wakilimanjaro mji ulisha jengengeka miaka mingi kwa sasa wachaga wana pambana kukuza vijiji nyiyi mnahangaika na vijengo vya mjini vipya ndio vina gorofa tatu.. Wakati kilimanjaro kwanzia miaka ya 1980 walishakuwa na majengo ya gorofa 12. Tena mengi..

Sasa hivi tunajipima kwa maendeleo ya data, uchumi wa mkoa, mahitaji ya jamii, pato la mtu mmoja mmoja.. Miundo mbinu yenye hadhi ya kisasa. Maisha bora ya kipato cha kati..

Tafuta data zakitaifa kujua mkoa wako uko level gani kwa kufanya rejea ya hayo niloyoandika hapo .. Achana na vijengo vya kijinga wakati miundombinu ya barabara, maji, pato la jamii yako, vyoo tu tatizo mkoa aslimia 79 hawana vyoo bora, huu tu ni ishara tosha kuwa bado hamja staarabika .. Kilimanjaro asilimia 13 tu ndio haina choo bora ..miundo mbinu ya bara bara, maji na elimu tuko 97 % tunaongoza kitaifa uko bukoba kwenun mko 37% .. Tafuta data kaka wewe jipambanishe na lindi ndio figa zenu zina kimbuliana
Picha bro majungu ya nini ? Tunatangaza miji yetu na bado picha za bukoba hazijaisha data huwekwa na watu sio miungu.nyuzi huwa ni za kitalii zaidi bukoba inaizidi kupaa hebu nitajie mtaa gani bk hakuna lami.stendi ndo inakamilika mwezi mei.maji si shida bk.sasa kitu gani unaongea hapo shida wengi hawaamini kuwa ndo bukoba hawakutegemea.maana walishakaririshwa na chuki ni kubwa dhidi ya wahaya kisa maendeleo yao
 
Wewe unalinganisha mchana na usiku au mlima Kilimanjaro na kichuguu Moshi huwezi linanganisha na Bukoba kabisa
nimemweleza hataki kuelewa bukoba vumbi tupu ufananishe na mji wa kwanza kwa USAF moshi?
Picha bro majungu ya nini ? Tunatangaza miji yetu na bado picha za bukoba hazijaisha data huwekwa na watu sio miungu.nyuzi huwa ni za kitalii zaidi bukoba inaizidi kupaa hebu nitajie mtaa gani bk hakuna lami.stendi ndo inakamilika mwezi mei.maji si shida bk.sasa kitu gani unaongea hapo shida wengi hawaamini kuwa ndo bukoba hawakutegemea.maana walishakaririshwa na chuki ni kubwa dhidi ya wahaya kisa maendeleo yao
mnaanza kujenga vigorofa vitatu mbwembwe nying,sisi huko tishapita zamaan yan sifa zinawaponza mlikolala ndo tilipoamkia cc
 
nimemweleza hataki kuelewa bukoba vumbi tupu ufananishe na mji wa kwanza kwa USAF moshi?
mnaanza kujenga vigorofa vitatu mbwembwe nying,sisi huko tishapita zamaan yan sifa zinawaponza mlikolala ndo tilipoamkia cc
We mjamaa ni me au ke hebu nijibu basi maana una majungu na umbea mwingi
 
kumbe hadi tuwape rambirambi ndo mjenge? duh nimeelewa
Pamoja na majanga kama tetemeko, vita vya kagera.MV bukoba bado bk inawagalagaza nyie moshi hata tukio bado lakini IPO hivyo huoni tatizo hapo habu tazama ihungo
fce15406b80aae3e1709c48041bc28d4.jpg
dc75c228e8646f6a99eb1a1c11eb2b86.jpg
a834430aee105a75a9c4ad0d1f95e77d.jpg
d8689359c39793b704eec76c1eaf9508.jpg
35de6301da640132716679c497725f8a.jpg
de35f3dd657d0d8d758a2ccfb82c4daa.jpg
8eedce36977d891f9e6a033a51a521d6.jpg
 
nisipoweka picha itabadili ukwrli?
nyie watu n washamba sana takwimu xa kiuchumi huon mkoa wenu ulivyo hoi? au mnadhan uchum n huto tu gorofa tuwili mliojenga kwa msaada wa hela za rambirambi?
hayo sindano imekuingia!!! Sasa kwa akili yako utamshawishi vp mtu ambaye yuko katavi kwamba aje kula bata moshi na si bukoba???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom