Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Picha zenye tarehe sio Moshi. Pia hayo mageti na camp za kupandia mlima sio Moshi
Sihitaji kuchangia sana ila hapo kwenye geti la kupandia mlima na moshi (marangu) mkuu hilo haliitaji uwe na degree kujua that's kilimanjaro national's park marangu entrance
 
Kubwa ubinafsi wa wachaga hapo nimewaelewa,
Hakuna mji duniani ulioendelea kwa wazawa pekee so wachaga badilikeni uzieni ardhi wageni na mushirikiane nao mji utakua sana mkiwa hamtaki kubadilika hata Mtwara itawapita kimaendeleo maana watu wa kusini wanasifa ya kuwakarimu wageni
 
Kama tunataka kulinganisha miji kwa leo hii Tanganyika mlinganisho ufuatao utakuwa na maana zaidi kwa vigezo vya kujengeka kwa mji. Kukua kwa mji na mzunguko wa pesa.

1. Dar es Salaa na Mwanza. Hawa ni WAKUBWA hawana mtu wa kuwakaribia kwa lolote.

2. Arusha Mbeya Morogoro Tanga na Dodoma. Hawa wanafukuzia kaka zao wawili.

3. Moshi Bukoba Musoma Geita Shinyanga Iringa na Mtwara.

4. Lindi Kibaha Songea Njombe Kigoma Sumbawanga Mpanda Kahama na Singida.
 
Reactions: Ame
Mkuu inajengwa mpya sasa hivi mtaa Wa kyakairabwa km 10 kutoka mjini mchoro huu hapa ujenzi tayari umeanza
Kwa sura ya mabasi isvyoakisi uhalisia hata hiyo stendi haitakua ilivyo pichani. Btw, endelwa kuweka vilivyopo. So far mko vzr kwenye picha. Mlijipanga kuanza huu ushindani.

Ni sawa na umpige mtu ngumi kisogoni afu ndo mianze mpambano. All the same, wekeni vigezo sio kutuma picha tu. Takwimu poa muhimu na ushahidi wazo.
 
Mjanja wa bk Rugemalila james
 
Kumbe we uliyepost hujui chochote hujui kuwa bukoba ni manispaa au ni alimashauli ya mji kwanza kabisa tambua bukoba iliitangulia moshi kuwa manispaa ndo uanze kupost
 
Kwa vigezo vyako utakuwa unashinganisha makabila na si mji au manispaa.

Sidhani kama kuna manispaa inalima kahawa kama ulivyotaja
 
Istanbul kuna sehemu Dar inaitwa kwa Wahaya mwananyamala unakuta vibatari na ukifika tu mwanaume unachoma ndani kuhudumiwa ila sijaona kwa wachaga hivi!! Kwa wachagga Kimara na Mbezi ni full ufugaji wa kuku na biashara za kawaida
Mfananisho ni bk na msh. Dar haihusiki
 
Huyu jamaa zombi nini??? Hapa tunasema bk vs moshi sio kagera vs kilimanjaro
 
Kuzikwa pekee haitoshi kwani hamurudi nyote mngetafuta wiki maalum ya wanabk tukaona msafara mrefuuu kama wachaga na ikawa kama tamaduni kwa watanzania wengine kuwa wahaya hao au wanabk haooo wanaenda kwao
Hivi bk kuna wahaya tu mi sijui hivyo
 
Hawana lolote achana nao misifa tu!!!!
Ni zaidi ya sifa. Ningekua meenyeji wa Msh mjini ningejitanabaisha kwa takwimu kama yule alieleta za TRA japo kaweka za mkoa.

Maana wa bk walishajipanga kufanya suprise attack ya picha baada ya kukusanya na kuedit. Sasa wa Msh wanaendeleza ujinga kucheza mziki wanaopiga bk. No way wakashinda.The Art of War ingewasaidia hapa.

Nawashauri wakuje na hard facts kwa categories ndo vita itaanza kurudi level. Kwa sasa wamekamatwa mapumbu wanaanza kutafuta tupicha walitosevu ila wako doomed kufeli wakiendeleza picha.
Fikiria hadi sasa hakuna alieweka za shamty town ikimaanisha wamepigwa na bumbuwazi hao wa Moshi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…