Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Istanbul kuna sehemu Dar inaitwa kwa Wahaya mwananyamala unakuta vibatari na ukifika tu mwanaume unachoma ndani kuhudumiwa ila sijaona kwa wachaga hivi!! Kwa wachagga Kimara na Mbezi ni full ufugaji wa kuku na biashara za kawaida
Povu lakutoka ukaamua kuhama topic baada ya kuzidiwa
 
Wa bukoba wapenda sifa hawana lolote majumba yao kama magofu na mengine ni incomplete
 
Hilo jengo lipo Moshi acheni ubishi wa kijinga.
Kati ya mie na wewe nani anabisha kijinga!!!

Angalia hapo picha ya pili ilio postiwa hapo



Kisha njoo uone hapa



Hii ni barabara ya mzunguko pale kwenye jengo la ccm
Ofisi za passion Fm
Mwanza,
Kutoka Airpot au nyamagana
Kwenda Kenyatta road
Kupandisha Nyerere Road
Unashuka kwenda Police .
Ninabisha kapost picha ya mwanza kuwa ni moshi
Maana naelewa miji yote ya Tz vyema.

Au ingia hapa

MICHUZI BLOG: mwanza
 
Siku hizi ukitaka umaarufu Jf lazima ufananishe Kaskazini(Moshi au Arusha) na vijikitu vya ajabu ajabu.
Embu pambaneni na vimji vyenu bhana.
huu ndio Unazi unaowamaliza nyie na akili zenu za kutu!! yaani ww hujaelewa maada mpaka utaje ukanda. mtu kafananisha mkuu hajataja ukanda unaibuka na ukabira ww utakuwa ndezi kweli kweli!!
 
Waambie mkuu hawa jamaa sijui hata kwao hawapajui??? Hii ni aibu ya mwaka
 
Jamani ebu msikinganishe moshi na bukoba ata kidogo.Moshi ni level nyingine papo juu sana.Kabla ujajilinganisha na moshi ebu angalia kama umeweza kuifikia morogoro,Dodoma,iringa,kahama etc kwanza.
kwan mkuu Moshi na Morogoro wapi ni pakubwa??
 
Wenyeji wa Moshi wana pesa lakini mji wao hauna mzunguko wa hela .Ndio maana mji wa moshi umechoka ukilinganisha na Bukoba. Ukitaka kupoteza pesa zako wekeza jengo Moshi ,, ikifika saa 12 jioni watu wote wanakimbilia migombani na kuacha mji mtupu
 
Niliwai kufika bukoba pia moshi nisawa na kulinganisha manzese na posta moshi pazuri licha ya Uzuri wake pia ni moja mji msafi sana bukoba pachafu baathi ya sehemu lami hamna kiukweli bado sana izo picha zimepigwa kwajuu tu ila chini hatari

Ni sehemu gani moshi ulienda,, mji mdogo hata kwa baiskeli unaumaliza ndani ya dk 15
 
Picha ya kanisa sio Moshi. Ni kibosho huko
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…