Bukoba mtapokea utapeli wa CCM tena?

Bukoba mtapokea utapeli wa CCM tena?

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,178
Reaction score
41,625
Atakuwa Mpuuzi sana ambaye anadhani uchaguzi feki Huu Una maana kwao !!

Kwanza hawana stend!
Hawana soko!

Barababara kuu imekwama na pesa wamekula!

Mbaya zaidi ni mkoa hauna hospital ya viwango

Britanicca
 
1757039403422.jpg
 
Japo ni kweli hali ya BK inatisha na kusikitisha, ila Nyie ndugu zetu Wahaya mmebarikiwa sana!,kwanza kwa Tanzania,Wahaya ndio wenye the highest IQ wakifuatiwa na Chagga na Nyakyusa,ndio mnaongoza kwa usomi na wasomi wenye Ph.D!! Ndio mnaongoza kwa diaspora wenye decent jobs!kiingereza kingi, nshomile ing'ambo miaka ishatu!, mugambire inafu!.

Enzi hizo nikitua NY, naongoza Mt. Venon na kufikia pale kwa Mama T, (sijui bado yuko hai?atakuwa 100+!)

Wawawake wenu ndio mabingwa wanaoongoza kwa upishi wa kile chakula, wanapika balaa!na chakula chao ni kitamu balaa!Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi? na wafanya biashara wa kwanza wa ile biashara,toka enzi za Maggots, hadi kule kwa wavura viratu na mugambire inafu!, proceed za hii
biashara very lucrative, Wahaya
wanaoeleka wapi? au
zinafanyia nini?!

Ndio mmemtoa MD wa kwanza Tanganyika, Dr Vedastus Kyaruzi, na Prof wa kwanza, Prof Rweyemamu (baba Kemi)

Ndio mnaongoza kwa mijengo Masaki, nini kinawazuia msiendeleze kwenu?!

JPM kawajengea uwanja Chato hamuutumii!, Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika! mpewe nini?!.

P
 
Japo ni kweli hali ya BK inatisha na kusikitisha, ila ndugu Wahaya mmebarikiwa sana!,kwanza kwa Tanzania,Wahaya ndio wenye the highest IQ wakifuatiwa na Chagga na Nyakyusa,ndio mnaongoza kwa usomi na wasomi wenye Ph.D!! Ndio mnaongoza kwa diaspora wenye decent jobs!
Enzi hizo nikitua NY, naongoza Mt. Venon na kufikia pale kwa Mama T, (sijui bado yuko hai?atakuwa 100+!)

Wawawake wenu ndio wanaoongoza kwa upishi wa kile chakula, wanapika balaa!na chakula chao ni kitamu balaa!

Ndio mmemtoa MD wa kwanza Tanganyika, Dr Vedastus Kyaruzi, na Prof wa kwanza, Prof Rweyemamu (baba Kemi)

Ndio mnaongoza kwa mijengo Masaki, nini kinawazuia msiendeleze kwenu?!
P
Hahaha, Sasa wamuendelezee nani na wao wako huku majuu?

Wahaya wajanja hawawezi kuishi Bukoba, wote wako nje ya mkoa na nchi, waliobaki Bukoba ndio wapiga kura wenyewe.
 
Japo ni kweli hali ya BK inatisha na kusikitisha, ila ndugu Wahaya mmebarikiwa sana!,kwanza kwa Tanzania,Wahaya ndio wenye the highest IQ wakifuatiwa na Chagga na Nyakyusa,ndio mnaongoza kwa usomi na wasomi wenye Ph.D!! Ndio mnaongoza kwa diaspora wenye decent jobs!
Enzi hizo nikitua NY, naongoza Mt. Venon na kufikia pale kwa Mama T, (sijui bado yuko hai?atakuwa 100+!)

Wawawake wenu ndio mabingwa wanaoongoza kwa upishi wa kile chakula, wanapika balaa!na chakula chao ni kitamu balaa!Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi? na wafanya biashara wa kwanza wa ile biashara, proceed za biashara hii zinafanyia nini?!

Ndio mmemtoa MD wa kwanza Tanganyika, Dr Vedastus Kyaruzi, na Prof wa kwanza, Prof Rweyemamu (baba Kemi)

Ndio mnaongoza kwa mijengo Masaki, nini kinawazuia msiendeleze kwenu?!

JPM kawajengea uwanja Chato hamuutumii!, Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika! mpewe nini?!.

P
Haha dah
 
Hivi Kuna university ngapi Bukoba?

Kuna taasisi yeyote ya Utafiti Bukoba? Taasisi za taifa kama NIMR na nyinginezo za kimkakati zilitakiwa ziwepo huko.

Nyerere ni baba wa taifa ila kosa kubwa alilofanya ni exploitation ya makabila makubwa kama Sukuma, Haya, Chagga, Nyakyusa.

Bila falsafa na ubaguzi wa CCM dawa ya UKIMWI/VVU ingekuwa imegunduliwa na watafiti ambao ni smart, intelligent na genius kutoka Bukoba na Kanda ya ziwa kwa ujumla.

Unajua kwanini? Sababu HIV/AIDS ilianzia na kuwapiga kule kwa hiyo wangewezeshwa na kuwa na rasilimali wangetumia maarifa yao vyema kutafuta dawa usiku na mchana na ingepatikana na kuisaidia Dunia.

Kutokana na vita ya Kagera. Bukoba ingekuwa ndio kitovu cha kutengenezwa silaha na nuclear power plant kule.

majanga makubwa ya asili yametokea huko Bukoba mfano tetemeko n.k. yangekuwa ndio chachu za tafiti na kuzalisha wataalam

Ukweli ni kwamba kama kusingekuwa na exploitation Tanzania ingekuwa mbali sana katika nyanja zote katika uchumi na hata teknolojia kwa kutumia rasilimali watu wenye uwezo na maarifa.
Duuuh.....
Muda mwingi nadhani JF tunadanganyana saana.
 
Atakuwa Mpuuzi sana ambaye anadhani uchaguzi feki Huu Una maana kwao !!

Kwanza hawana stend!
Hawana soko!
Barababara kuu imekwama na pesa wamekula!
Mbaya zaidi ni mkoa hauna hospital ya viwango

Britanicca
as long as byabato (former) alipata chake, na sasa amesepa. CCM members wanapata 10, 10 za rushwa, basi kila mmoja na lwake. Umoja wao ndio utaiamsha ccm kuwafanyia yote uliyoyasema.

Kuna shida sana na wahaya nshomile. Kadhia ya barabara inayotengenezwa mjini usingelifikiria kuna haja hata ya kufanya kampeni..............ni kuikataa ccm mwanzo mwisho! Lakini OBULUSHU!
 
Hivi Kuna university ngapi Bukoba?

Kuna taasisi yeyote ya Utafiti Bukoba? Taasisi za taifa kama NIMR na nyinginezo za kimkakati zilitakiwa ziwepo huko.
Naunga mkono hoja, hata kautafiti tuu kugundua kwanini Wahaya wana very much high IQ, kama ni kula ndizi, au zile nsenene watu tule , hata ile siri kwanini wanawake wao wanakolea sana kwenye mambo yetu yale,Wanawake wengine wote Tanzania wajifunze nao wakolee !,jirani zetu Uganda wanatawala soko la hii biashara Dubai!, kuna siku niko Dubai,nikapelekwa mahali kupata mlo, nikaelezwa ni wapishi ni Baganda, kufika kumbe wengine ni dada zetu lakini ili wabambe soko,wana ji brand Baganda!

wewe pascal, acha hizo! nani kakudanganya. Kumbe mtu mzima unasema uongo?
 
Nashindwa kuelewa ni kwanini wahaya na misifa yoote hii mijini lakini Bukoba pako very very backward.
In fact hata kamji ka wilaya kama Kahama kako better off by far kuliko Bukoba.
Wahaya mnakwama wapi?
Wengi watu wa imani gani- swala tu usiniparure
 
Atakuwa Mpuuzi sana ambaye anadhani uchaguzi feki Huu Una maana kwao !!

Kwanza hawana stend!
Hawana soko!
Barababara kuu imekwama na pesa wamekula!
Mbaya zaidi ni mkoa hauna hospital ya viwango

Britanicca
Acha kuolaumu CCM. Wahaya wenyewe ambao ni kwao ni billionaires wanajenga Dar na Mwanza, sasa kama wamedharau kwao CCM ni nani wakawajengee. Waonyeshe kwanza wao mfano kwa kupenda kwao
 
Naunga mkono hoja, hata kautafiti tuu kugundua kwanini Wahaya wana very much high IQ, kama ni kula ndizi, au zile nsenene watu tule , hata ile siri kwanini wanawake wao wanakolea sana kwenye mambo yetu yale,Wanawake wengine wote Tanzania wajifunze nao wakolee !,jirani zetu Uganda wanatawala soko la hii biashara Dubai!, kuna siku niko Dubai,nikapelekwa mahali kupata mlo, nikaelezwa ni wapishi ni Baganda, kufika kumbe wengine ni dada zetu lakini ili wabambe soko,wana ji brand Baganda!
P
Mkuu P hapa kwenye mlo umeniacha kidogo, ni mlo gani unamaanisha?
 
Back
Top Bottom