Bukoba mtapokea utapeli wa CCM tena?

Bukoba mtapokea utapeli wa CCM tena?

Wale jamaa kitu Cha uhakika kwao ni maji na umeme tu. Umeme wao unatokana na chanzo Cha maporomoko ya Owen Uganda,ni ngumu sana kusikia umeme umekatika bukoba. Wanakiwanda chao Cha maji ya bunena kile nacho wanaweza kujivunia maana mmiliki ni mzawa wa hapo BK mjini.
Umesahau na ukumbi wa Rio Di Janeiro
 
Atakuwa Mpuuzi sana ambaye anadhani uchaguzi feki Huu Una maana kwao !!

Kwanza hawana stend!
Hawana soko!

Barababara kuu imekwama na pesa wamekula!

Mbaya zaidi ni mkoa hauna hospital ya viwango

Britanicca
Kila mtu ana matatizo yake. Ila matatizo hasa ya akili yanakuwa makubwa sana kwa watu wanaoipenda na kuishabikia ccm hawa wanamatatizo makubwa sana kichwani
Hivi hawaoni kwamba wanadanganywa na kufanywa WAJINGA??
 
Japo ni kweli hali ya BK inatisha na kusikitisha, ila Nyie ndugu zetu Wahaya mmebarikiwa sana!,kwanza kwa Tanzania,Wahaya ndio wenye the highest IQ wakifuatiwa na Chagga na Nyakyusa,ndio mnaongoza kwa usomi na wasomi wenye Ph.D!! Ndio mnaongoza kwa diaspora wenye decent jobs!kiingereza kingi, nshomile ing'ambo miaka ishatu!, mugambire inafu!.

Enzi hizo nikitua NY, naongoza Mt. Venon na kufikia pale kwa Mama T, (sijui bado yuko hai?atakuwa 100+!)

Wawawake wenu ndio mabingwa wanaoongoza kwa upishi wa kile chakula, wanapika balaa!na chakula chao ni kitamu balaa!Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi? na wafanya biashara wa kwanza wa ile biashara,toka enzi za Maggots, hadi kule kwa wavura viratu na mugambire inafu!, proceed za hii
biashara very lucrative, Wahaya
wanaoeleka wapi? au
zinafanyia nini?!

Ndio mmemtoa MD wa kwanza Tanganyika, Dr Vedastus Kyaruzi, na Prof wa kwanza, Prof Rweyemamu (baba Kemi)

Ndio mnaongoza kwa mijengo Masaki, nini kinawazuia msiendeleze kwenu?!

JPM kawajengea uwanja Chato hamuutumii!, Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika! mpewe nini?!.

P
Umeamua kutusema na kutusimanga utukomee itwe tulio munooo
 
Si ni mambo yetu yale ya misosi, sisi Wasukuma tunapenda sana yale mambo ya kula kula misosi , Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?
Vyakula vya Bukoba, ni vitamu sana!, ukibahatika kumpata mpishi bingwa, unaweza kujikuta unachanganyikiwa unaweza hata kutelekeza familia ukajikuta huna tena hamu na chakula cha nyumbani!, ukukitana na binti ametiwa kitu inaitwa shumtamaa!, ni kitu ya hatari kabisa! very dangerous!,limbwata itasubiri!,mtu unahama nyumbani!unaacha ghorofa unahamia kibanda umiza!,na ikitokea wewe ukawa ni mgonjwa wa haya makitu https://www.jamiiforums.com/threads...-why-only-some-and-why-so-much-fluid.265376/, tunakusahau kama nzi!,mpaka utafia kwenye kidonda!
P
Mayala umenifurahisha sana, hebu tukutane break point weekend tugonge maji ya dhahabu!!!
 
Atakuwa Mpuuzi sana ambaye anadhani uchaguzi feki Huu Una maana kwao !!

Kwanza hawana stend!
Hawana soko!

Barababara kuu imekwama na pesa wamekula!

Mbaya zaidi ni mkoa hauna hospital ya viwango

Britanicca
Haha naona umewasemea home.


Haha wahamie Uganda mkuu nshomile
 
Back
Top Bottom