Cham Bee
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 3,516
- 1,856
Heshima kwa njaaNjaa na iheshimiwe na watu wote. Njaa ni mbaya Sana
Heshima kwa njaaNjaa na iheshimiwe na watu wote. Njaa ni mbaya Sana
si unaona watu wapo uani kamandaHuo ni Mkutano wa ndani??
Mbona hawajavaa sare za chama au amewakodi?
Itabidi Chadema wazungushie mabati pale jangwani.si unaona watu wapo uani kamanda
hajielewi na hiyo nyomi?Huyu jamaa hajielewi
Bure kabisa
Vijana wa siku hizi wana akili sana aiseee, sio wa kucheza nao hata kidogoWapenda mabadiliko wengi ni vijana na kwa picha ninayoiona hapo wengi wa hao waliohudhuria ni watu wenye umri wa juu ya ujana.Nadhani suala la Lee Pumba kupata Support kubwa kama anavyotaraji ni ndoto kwa sababu hata hao waliopo hapo wapo ambao ni Double Standard na ambao hawakuhudhuria wengi ni wale wasiokuwa upande wake kabisa.
kwanini CHADEMA?Itabidi Chadema wazungushie mabati pale jangwani.
Wengi waliohudhuria hapo ni ile jamii ya watu waliokaririshwa kuwa Pro Lipumba ni msomi kuliko wasomi wote Tanzania.Ni mashabiki wa Lipumba na si wataka mabadiliko...Nawasilisha.Wapenda mabadiliko wengi ni vijana na kwa picha ninayoiona hapo wengi wa hao waliohudhuria ni watu wenye umri wa juu ya ujana.Nadhani suala la Lee Pumba kupata Support kubwa kama anavyotaraji ni ndoto kwa sababu hata hao waliopo hapo wapo ambao ni Double Standard na ambao hawakuhudhuria wengi ni wale wasiokuwa upande wake kabisa.
Asante kwa kulielewa hilo.[emoji106]Mbona wazee watupu,vijana wapo wapi maana ukitaka mabadiliko bila vijana ni ndoto maana wao wako asilimia 60 ya watanzania wote.
Siasa za Tanzania ni pasua kichwa. Kwa hiyo watu wako kabisa attentively wanamsikiliza
Heshima yako mkuu
Inashangaza sana maana naona kama double standard hapo
Ila nchi yetu hii mkuu
wastaafu, hawana kazi.Mbona wazee watupu,vijana wapo wapi maana ukitaka mabadiliko bila vijana ni ndoto maana wao wako asilimia 60 ya watanzania wote.
Hapo mabomu na virungu vingetembea sanaHuu Mkuu ndiyo ule uhuni tunaousema. Mkutano kama huu ungefanya na CHADEMA tungeiona mihemuko ya polisiccm.