Buguruni: Profesa Lipumba anaongea na Wanachama wa CUF muda huu

Buguruni: Profesa Lipumba anaongea na Wanachama wa CUF muda huu

Bila shaka hapo huwezi kumkosa Mama Mh. Magdalena Sakaya....!!!??
 
Hicho chama kina wanachama wangapi na kila mtu akiwa anaitisha kuongea na wanachama wake itakuwaje. Halafu Buguruni ni kitovu cha wanachama wa CUF. Hata Mrema leo hii akiitisha mkutano wa wanachama wa TLP bila shaka inawezekana wakawa wengi zaidi ya hao.
Wengi hao ni wajumbe wa CCM, hamna lolote hapo.
 
HAHAHAHA MAALIM SEIF KASIMAMISHWA UKATIBU MKUU
 
Hicho chama kina wanachama wangapi na kila mtu akiwa anaitisha kuongea na wanachama wake itakuwaje. Halafu Buguruni ni kitovu cha wanachama wa CUF. Hata Mrema leo hii akiitisha mkutano wa wanachama wa TLP bila shaka inawezekana wakawa wengi zaidi ya hao.
unaboa bana kila thread unachangia!!!!. nyie ndio mnaifanya jf idharaulike.
 
Lipumba - ha ha ha ha ha ha!
Naomba Kinana aanze mikakati ya kuwapokea wana CUF wanakuja kitambo
 
Mrejesho wa mkutano tafadhari mtupatie wengine tupo mabonde kwinama huku.
 
Back
Top Bottom