Hawa wanachadema wengi ni wagonjwa yaani ule uozo wote wa CCM miaka ile umeamia CDM na lichama limekuwa na mashabiki wa hovyoMbona mboye hamjamtoa? Uenyekiti wake una miongo kadhaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Dawa ya Lipumba ni kumuachia majengo
Hunishindi Mimi mkuu, ilifika sehemu nikawaza angekua baba yangu sijui ningefanyaje....aibu hiiHivi Prof.yuko sawa sawa au kuna shida mahali? Nini kinamtuma kufanya haya,ni akili zake au kuna nini? yaani me naona km maigizo hivi,nikiwaza nacheka hata sielewi.
Bila elimu watu unaweza kuwa geuza geuza utakavyo, hata Dr. Slaa arudi leo na kusema bado ni katibu mkuu wa CDM, watu watajaa nyomi huku wakiimba - katibu katibu katibu !!! Wanaoelewa mambo ni 30% tu wengine tunajiendea tu upepo unakovumia!!Siasa za Tanzania ni pasua kichwa. Kwa hiyo watu wako kabisa attentively wanamsikiliza
Wewe unayo!hivi hao jamaa wote hapo hawana ajira!!
njaa na kuiga mambo ya kipuuzi na ukosefu wa ajira ni tatizo kubwa sana Tanzania,yaani hata ukiitisha press conference au mkutano mwaka mzima kila siku huwezi kosa watuOFISI kuu CUF Buguruni Muda huu press ya Profesa Lipumba na wana CUF.Wakati huo huo kuna Mkutano wa Baraza kuu wa Chama wa CUF unaendelea hivi sasa Vuga,Unguja Zanziabr.
View attachment 407683 View attachment 407684 View attachment 407685
Hizi picha ni za Wananchama wa CUF wakisubiri Prof. Lipumba aje Kuongea nao. Hapa ni Buguruni Dar es Salaam.
[emoji15] [emoji15] ni kweli?[emoji23] [emoji23]alihojiwa akawa analalamikia kupoteza saa yake ya bei mbaya wakati alipokamatwa na polisi mwaka jana na magari aliyosaidia kununulia chama pamoja na kompyuta km vp apewe vtu vyake asepe,me ananiua mbavu zangu siwezi kuendelea kucheka ntavunjika mbavu bure.