OFISI kuu CUF Buguruni Muda huu press ya Profesa Lipumba na wana CUF.Wakati huo huo kuna Mkutano wa Baraza kuu wa Chama wa CUF unaendelea hivi sasa Vuga,Unguja Zanziabr.
View attachment 407683 View attachment 407684 View attachment 407685
Hizi picha ni za Wananchama wa CUF wakisubiri Prof. Lipumba aje Kuongea nao. Hapa ni Buguruni Dar es Salaam.