Mmoja wapi mkuu hao wote wanalumumbanimemuon mwanalumumba moj hpo jmni
Kwajibu lako biashara sio ajira!? Nauliza tu labda sijuiWanachama wengi wa CUF ni wafanyabiashara tofauti na BAVICHA ambao wengi ni watoto wa shule na vyuo
wote ukimtoa mazrui na maalim seif ndo hawamtaki lkn walobaki wote wanamuunga mkono chini chiniTaja robo yake tu ya viongozi wa ngazi za juu.
Nahisi hawana ajira wanasikiliza nini mtu aliejitapa kujiuzuru kweli tunaona mengi zaid ya haya ngoja tusibir tuone alichokiongea hapohivi hao jamaa wote hapo hawana ajira!!
Hawa wanalumumba wanafurahisha kweli...Hao ni wanaCCM wenzenu, unadhani hatujui hili chezo?
Mzee Lipumba kafukuzwa uanachama CUF leo hii.Watamuelewa lipumba
Kwa nini asifukuzwe Maalim kwa kosa la kutomtii Mwenyekiti?CUF inapitia kwenye mtanziko mkubwa sana wa kisiasa toka chama hicho kisajiliwe.Inahitaji umakini wa hali ya juu kutatua na huyo Lipumba afukuzwe uanachama kabisa maana chama si mali yake na uenyekiti si mali yake.Ni prof.gani huyo anayetumika kihivyo?
Ingekuwa ni Chadema huyo Prof. angekoma, ana bahati sana hayupo Chadema yaan tungemtoa ofcn hata kwa Shoka
Ndio maana Maalim Seif akaliona hilo akatumia BUSARA kuwa, sisi ya kwetu tuyamalizie huku UNGUJA ili hao POLISI wasipate cha kusema wala kutenda,Hapo polisi hawaoni mkutano wa hadhara uwo?
Hapo polisi hawaoni mkutano wa hadhara uwo?