mkalamo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 343
- 359
Ufipa kaziniLumumba
Ufipa kaziniLumumba
Mbona mboye hamjamtoa? Uenyekiti wake una miongo kadhaa.Ingekuwa ni Chadema huyo Prof. angekoma, ana bahati sana hayupo Chadema yaan tungemtoa ofcn hata kwa Shoka
kakurupukaaa,,,, huyoooMbona mboye hamjamtoa? Uenyekiti wake una miongo kadhaa.
Kwani mbowe amejiuzuru na msajili akamwandia memo ya kurudi...na asikari wakamuongoza kuvunja gate...?? Akili zako kama za juma pumba marijaniMbona mboye hamjamtoa? Uenyekiti wake una miongo kadhaa.
naona wana ccm tu mkuu wanguDah huyu jamaa anakubalika,na Mtatiro naye aitishe Mkutano tuone wafuasi wa CUF wanaomuunga mkono.
Si sinema ya kukosa maana ndio nimeingia sasa hivi hapa Avalon Cinema lakini sijachelewa sana.Hii movie hatari sana
Swal zur maana leo nicku yakazhivi hao jamaa wote hapo hawana ajira!!
Mnavyotii namna hii wanaowatuma wenzenu wanawatukania vikojole vya mnaowaheshimu sana.Kwani mbowe amejiuzuru na msajili akamwandia memo ya kurudi...na asikari wakamuongoza kuvunja gate...?? Akili zako kama za juma pumba marijani
changia hoja dogo.naona wana ccm tu mkuu wangu
Kwani we unaajira? au ndo umeshiba macharali ya kirua vunjo?hivi hao jamaa wote hapo hawana ajira!!
wale ni wana ccm tu mkuu wangu, amini nakwambia.changia hoja dogo.
Swali zuri sana, lakini akina Wakudadavua watajifanya kulipita kama hawalioni vile!Huo ni Mkutano wa ndani??
Kumbe ana asili ya tabora?Uwenyekiti mtamu mzee wa tabora hataki kuuacha kabisa .
Mbona wewe hua unamsikiliza DJ pamoja na kutambua kua ni mpiga deal lakini umetia pamba masikioni na kumwona kama malaika asiejua kukosea bali yuko sawa kwa kila analolisema?Siasa za Tanzania ni pasua kichwa. Kwa hiyo watu wako kabisa attentively wanamsikiliza