Buguruni: Profesa Lipumba anaongea na Wanachama wa CUF muda huu

Buguruni: Profesa Lipumba anaongea na Wanachama wa CUF muda huu

Lipumba ni pandikizi angalia uchaguzi wa meya na mameya wa manispaa unakuja ukawa wachunge sana na Pro.Mkakati umesukwa umesukika.Shida ni jiji la Dar mwenye masikio na asikie.
 
Siku zote mwanaume ukiwa na mke na watoto ni wazi utakuwa umepanuka kimawazo hata kama Elimu yako ni ndogo lakini tofauti na hivyo utakuwa kichekesho hususani umri ukiwa umeishaenda.
 
Mmmh...! kumbe mikutano na vikao vya ndani vya DAR vilisharuhusiwa isipokuwa vya BK ni tatizo
 
Hao mnaowaita wanachama wa CUF hata miamoja hawafiki, eti anaongea na wanachama.
Mmmmh mnatia aibu sana nyinyi chama cha lumumba.
Mwishowe ataisihiwa ela za kuwapa hao.
 
Naomba kuuliza swali,hivi hao waliokaa ni wana cuf kweli au ni mamuluki?.Na kama ni wana cuf je wako timamu?,Kama wako timamu basi kuna kitu kweli ndani ya cuf kinachowatafuna.
 
Huu mkutano wa kukusanya watu upo kikatiba? Polisi watuambie jee ni kikao cha ndani au mkutano wa hadhara?
Lipumba kama hamjui anaandaa mauaji kwani anahamasisha fujo ili kikao cha kikatiba kikimvua uanachama kule Zanzibar basi akitaka kutolewa wafanye fujo kama juzi.
Jela inamuita huyu mzee
 
Namshauri Prof amvue uanachama maalim kwa kuitisha vikao vyachama bila kua na uwezo huo kikatiba!
 
Back
Top Bottom