capitano911
Member
- Jun 11, 2015
- 36
- 25
Sidhan ...hivi hao jamaa wote hapo hawana ajira!!
Hata hivyo serikali imesitisha ajira kwa muda mrefu sasa
Sidhan ...hivi hao jamaa wote hapo hawana ajira!!
Ngoja niendelee kusoma nione hao watoto wa shule wamekujibu nini😉Wanachama wengi wa CUF ni wafanyabiashara tofauti na BAVICHA ambao wengi ni watoto wa shule na vyuo
Mbowe Mwenyekiti wa MAISHA pale CDMLijinga sana hili jamaa alafu miaka yote ni yeye mwenyekiti hamna mtu mwingine kweli cuf mwenye uwezo? Hakuna mawazo mapya mambo yatakua yale yale, ndio maana watu wengi hawapigii kura upinzani kwenye uchaguzi sababu ya upinzani wenyewe kukosa demokrasia ya kubadilisha badilisha viongozi wao. Wajifunze kubadilika
Kwahiyo huyo unayemtetea mbona ana mawazo mgando kuwa uenyekiti ni wake tu hadi anakufa.Acha kua na akili mgando wewe! Yaani kila aliyetofauti na mawazo ya Mbowe anatumika!!
Mbowe alitumwa nani kumteua Lowassa kua mgombea Urais??
Naweza kuthibitisha kwamba lipumba hayuko sawa .OFISI kuu CUF Buguruni Muda huu press ya Profesa Lipumba na wana CUF.Wakati huo huo kuna Mkutano wa Baraza kuu wa Chama wa CUF unaendelea Zanziabr.
View attachment 407683 View attachment 407684 View attachment 407685
Hizi picha ni za Wananchama wa CUF wakisubiri Prof. Lipumba aje Kuongea nao. Hapa ni Buguruni Dar es Salaam.
nani atamfukuza uanachama wakati robo tatu ya viongozi wanamuunga mkonoCUF inapitia kwenye mtanziko mkubwa sana wa kisiasa toka chama hicho kisajiliwe.Inahitaji umakini wa hali ya juu kutatua na huyo Lipumba afukuzwe uanachama kabisa maana chama si mali yake na uenyekiti si mali yake.Ni prof.gani huyo anayetumika kihivyo?
MAALIMSEIF KASIMAMISHWA KAZIMrejesho wa mkutano tafadhari mtupatie wengine tupo mabonde kwinama huku.
Taja robo yake tu ya viongozi wa ngazi za juu.Anani atamfukuza uanachama wakati robo tatu ya viongozi wanamuunga mkono
Afadhali yule mmoja anatunza utu wake. Huyu alijitoa, leo bila haya anarudi kwa kutumwa. Ana bahati kwao Tabora uswahili unaruhusiwa, mambo hayo asifanyie Mara...atanyonyolewa yungali machoLipumba Maalim Seif sijaona mwenye afadhali,wote wana uchu na madaraka tu
Magufuli atapatishwa taabu sana anadhani kaweza atashangaa na jua kumzamiaAcha kua na akili mgando wewe! Yaani kila aliyetofauti na mawazo ya Mbowe anatumika!!
Mbowe alitumwa nani kumteua Lowassa kua mgombea Urais??
Na kweli wapangishe ofc zingine tu abaki na msajiliDawa ya Lipumba ni kumuachia majengo