Buguruni: Profesa Lipumba anaongea na Wanachama wa CUF muda huu

Buguruni: Profesa Lipumba anaongea na Wanachama wa CUF muda huu

Huyu jamaa uenyekiti na kugombea Urais ni wake hadi kufa maana anasema kugombea Urais si kama kugombea U-miss.

From 1995- To date Lipumbaaa!

Lazima iwe hivyo. Kwa sababu sidhani kuna mwingine ndani ya CUF atakayekubali awe Mwenyekiti na Mgombea wa Maigizo, zaidi yake. Akipatikana Mwenyekiti halisi na mgombea wa kweli mwenye dhamira ina maana atakuwa amejitoa kwenye jukumu lake la msingi.
 
n
watu 42 tu wanatosha kumvua uanachama mwenyekiti, hebu kuweni serious, au mimi ndo sijaelewa? halafu wapewe urais, kigenge cha watu wasiozidi 50 kinaweza kufanya fitina ya kumvua uanachama amiri jeshi mkuu, msajili kama cuf wana katiba ya hivi inashangaza

Ni kwa mujibu wa katiba wewe.
 
BAADA YA KUONA CUF IMECHUKUA MAJIMBO MENGI SAFARI HII SASA ANAJIRETA KWA KUSHINIKIZWA HUYU DAWA YAKE ACHAPWE VIBOKO
 
Wenzake wanafanya mkutano na baraza kuu yeye anafanya mkutano na wafuasi…..aah prof…
 
Kuna possibility watu waliojaa hapo ni wana CCM kama kweli mgogoro ndani ya CUF umekuwa engineered na CCM. Pia there's a possibility kuwa Prof. Lipumba bado ana nguvu ndani ya chama in such a way kuna wafuasi waliotayari kumfia kiongozi wao
 
Huyu jamaa uenyekiti na kugombea Urais ni wake hadi kufa maana anasema kugombea Urais si kama kugombea U-miss.

From 1995- To date Lipumbaaa!
Huyu na mbowe nani anang'ang'atia uenyekiti?
 
Sasa huo mkutano umeruhusiwa na nani!!?

Ufipa hawawezi kukubaliwa kuitisha mkutano kama huo!!

Huu mkutano utakuwa umepata baraka zote .....!!
Kuna tofauti kubwa kati ya wanachama wa CHADEMA na Wanachama wa Chama Cha Wananchi (CUF). Chama cha Wananchi kinaongoza wananchi wenye akili zao, wakati CHADEMA kinaongoza wanywa viroba. Kwa hiyo kuna tofauti kubwa kati ya ofisi ya mtaa wa Ufipa na ofisi ya mtaa wa Buguruni.
 
Dah huyu jamaa anakubalika,na Mtatiro naye aitishe Mkutano tuone wafuasi wa CUF wanaomuunga mkono.
huyo hana lolote hao nao ni watu sasa? mamluki tu hao, sasa yeye alipaswa aitishe mkutano na baraza kuu, eti anaitisha na wafuasi wake...kapigwa chini sasa ha ha haa, mwambie aanzishe chama chake na hao wafuasi wake
 
Kuna tofauti kubwa kati ya wanachama wa CHADEMA na Wanachama wa Chama Cha Wananchi (CUF). Chama cha Wananchi kinaongoza wananchi wenye akili zao, wakati CHADEMA kinaongoza wanywa viroba. Kwa hiyo kuna tofauti kubwa kati ya ofisi ya mtaa wa Ufipa na ofisi ya mtaa wa Buguruni.

Mikutano ya ndani.
 
Ingekuwa ni Chadema huyo Prof. angekoma, ana bahati sana hayupo Chadema yaan tungemtoa ofcn hata kwa Shoka
Hakuna watu wa hovyo kama chadema,Mnapelekwa pelekwa tu kama ng'ombe,tulieni hadi mbowe afe,hakuna kung'atuka
 
Back
Top Bottom