YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,050
hivi hao jamaa wote hapo hawana ajira!!
Wanachama wengi wa CUF ni wafanyabiashara tofauti na BAVICHA ambao wengi ni watoto wa shule na vyuo
hivi hao jamaa wote hapo hawana ajira!!
Makamanda wanajifanya hawaoni. Jamaa anaungwa mkono na wafuasi wengi wa CUF.Lipumba hang'oki jamani,ushawishi bado anao
Hakuna wana CUF hapo kakusanya wahuni ili kujaza mkutano.hivi hao jamaa wote hapo hawana ajira!!
Vipi yule mwenyekiti wa maisha wa kuteuliwa kule Tengeru!!Uwenyekiti mtamu mzee wa tabora hataki kuuacha kabisa .
Hao ni wanaCCM wenzenu, unadhani hatujui hili chezo?Makamanda wanajifanya hawaoni. Jamaa anaungwa mkono na wafuasi wengi wa CUF.
Huo ni Mkutano wa ndani??
Wengine ni Chadema hapo. Unafikiri hatujui jinsi Profesa anvyoungwa mkono?Hao ni wanaCCM wenzenu, unadhani hatujui hili chezo?
IQ yetu bhana....Chadema hali mbaya
Kaka haya maneno yako tu ila ata ingekuwa inside,u can't do anything right coz hawa jamaa wanajuana labda tusubir wafe apo tutaanza upyaaIngekuwa ni Chadema huyo Prof. angekoma, ana bahati sana hayupo Chadema yaan tungemtoa ofcn hata kwa Shoka
Wa ccm ni vijana wa vijiweni wasio Na maono. Kila kitu kwao ni NDIOWanachama wengi wa CUF ni wafanyabiashara tofauti na BAVICHA ambao wengi ni watoto wa shule na vyuo