Buguruni: Profesa Lipumba anaongea na Wanachama wa CUF muda huu

Buguruni: Profesa Lipumba anaongea na Wanachama wa CUF muda huu

CUF inapitia kwenye mtanziko mkubwa sana wa kisiasa toka chama hicho kisajiliwe.Inahitaji umakini wa hali ya juu kutatua na huyo Lipumba afukuzwe uanachama kabisa maana chama si mali yake na uenyekiti si mali yake.Ni prof.gani huyo anayetumika kihivyo?
Ila kwa Mbowe uenyekiti ni mali yake.......
 
Mnalifuga Fisadi ndani na hamjawahi kuhoji lili ingiaje unakuja kuuliza ya lipumba?Tanzania ina vituko. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]


Nani aliyelifuga mwanzo? nyie waganga njaa mna tabu sana, acha kuishi kwa kjipendekeza siku moja utajutia
 
hili jamaa alafu miaka yote ni yeye mwenyekiti hamna mtu mwingine kweli cuf mwenye uwezo? Hakuna mawazo mapya mambo yatakua yale yale, ndio maana watu wengi hawapigii kura upinzani kwenye uchaguzi sababu ya upinzani wenyewe kukosa demokrasia ya kubadilisha badilisha viongozi wao. Wajifunze kubadilika
Usimsahau na Mbowe
 
Huu si mkutano wa hadhara kweli!? Na kama niwa ndani polisi hawaoni kama unaweza kuhatarisha amani coz kuna makundi yanapingana waziwazi ndani ya CUF sasa kwanini wanaruhusu ufanyike, au ya Elikaeli tu inahatarisha usalama
 
Kama swala ni kung'ang'ania madaraka basi tuanze na CCM baba lao.
Ni kweli wao wapo madarakani muda mrefu, ila wenyeviti wao hubadilika kila baada ya miaka 10.

Lipumba, Maalim, Cheyo, Mbowe bado wapo .[emoji1] [emoji1]
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Wanatumia polish kung'ang'ania madarakani hao ndio topic kuu kwa muktadha huu.
Ni kweli wao wapo madarakani muda mrefu, ila wenyeviti wao hubadilika kila baada ya miaka 10.

Lipumba, Maalim, Cheyo, Mbowe bado wapo .[emoji1] [emoji1]
 
Wanachama ndio nini
Lipumba kakubali kufanywa mpumbavu...
Wabunge 98% hawamtaki
Madiwani 99% hawamtaki
Viongozi wa baraza la uongozi 95% hawamtaki
Wajumbe wa mkutano mkuu 70% hawamtaki
Atabaki kuongea na wanachama feki wa kuazima . Ameshafukuzwa sasa arudi tena kwa msajili amrejeshe na uanachama...
 
Marufuku mikutano ya hadhara sasa huu ni wa nini[emoji1] [emoji1]
 
hongera mwenyekiti, Professor, PhD holder ya Uchumi (pengine Hons.) kama ipo wewe ndo kila kitu
 
Usicheze na pesa za Fisadi Lipumba lazima uondolewe tu
 
inanoga sana wana CUF tunakuelewa sana. wewe ndie au tumtarajie mwingine
 
Hao siyo CUF, ni wa CCM wameletwa kuchafua CUF, lakini Lipumba ameshang'oka, hizo ni kelele za kukata roho tu.
 
Back
Top Bottom