Buguruni: Profesa Lipumba anaongea na Wanachama wa CUF muda huu

Buguruni: Profesa Lipumba anaongea na Wanachama wa CUF muda huu

hongera mwenyekiti, Professor, PhD holder ya Uchumi (pengine Hons.) kama ipo wewe ndo kila kitu
Hatuwezi kushangaa kwa Mnaomuunga mkono Lipumba maaana iko hvo hata Mwiz akkamatwa na kithibitsho kuna watakao mtetea kua sio mwizi wakat ushahid kila kitu kinaonesha.
 
Wanachama ndio nini
Lipumba kakubali kufanywa ********...
Wabunge 98% hawamtaki
Madiwani 99% hawamtaki
Viongozi wa baraza la uongozi 95% hawamtaki
Wajumbe wa mkutano mkuu 70% hawamtaki
Atabaki kuongea na wanachama feki wa kuazima . Ameshafukuzwa sasa arudi tena kwa msajili amrejeshe na uanachama...
Lipumba ataenda mahakamani atarudishiwa uanachama wake na ataendelea kuwa mwenyekiti
Mpo tayari kwa muziki wa Lipumba baada ya hapo?
 
Wanachama wengi wa CUF ni wafanyabiashara tofauti na BAVICHA ambao wengi ni watoto wa shule na vyuo

AHAME CHAMA KAMA ANAWAFUASI WANAO MKUBALI AANZISHE CHAKE ILI APATE WATU.

MBONA ZITO ALIFUKUZWA HAKUFANYA FUJO KWENYE CHAMA YY KUNA NN
 
Hatuwezi kushangaa kwa Mnaomuunga mkono Lipumba maaana iko hvo hata Mwiz akkamatwa na kithibitsho kuna watakao mtetea kua sio mwizi wakat ushahid kila kitu kinaonesha.
Na wengi wanaotetea wezi na wahalifu ni wanasheria kama akina Lissu.
 
Sasa na yeye kama mwenyekiti lipumba aitishe kikao cha baraza kuu amfukuze maalim seif toone maana nasikia sijakua na uhakika nasikia profasoor keshafukuzwa ikoje jamani
 
Lipumba hang'oki jamani,ushawishi bado anao
Kashindwa kumshawishi hata demu ili awe na familia ataweza kuwashawishi wananchi? Amekuwa mwenyekiti lakini hata ubunge kwao Tabora kashindwa kugombea au kumpigia kampeni mgombea wake.
Alipokimbia kwenye kampeni mwaka jana ndo CUF imevuna viti vingi vya udiwani na ubunge na sasa umeya wa Ilala. Sasa Liability akikuwa yeye au Lowasa?
 
Hii movie ya CUF na Lipumba ni pasua kichwa!!!
 
Hicho chama kina wanachama wangapi na kila mtu akiwa anaitisha kuongea na wanachama wake itakuwaje. Halafu Buguruni ni kitovu cha wanachama wa CUF. Hata Mrema leo hii akiitisha mkutano wa wanachama wa TLP bila shaka inawezekana wakawa wengi zaidi ya hao.
Kamanda. Nikuulize. Kitendo cha Prof Lipumba kurudishwa unakikubali au haukikubali. Tupe mawazo yako kama haukikubali kisheria na kitaratibu
 
mbona unakuwa mkali si tumeambiwa tufanye kazi ndio maana nikauliza ila kama nimekukwaza uniwie radhi
Ina maana hauthamini wanachokifanya wanachama. Lazima wakutane na ku solve mambo kwa matatizo yaliyowakuta
 
Back
Top Bottom