Ukizungumzia lubricant Hapo sawa uko safeSure, ila je kama alitumia lubricants?
And what if, uke ulichezewa vya kutosha na kutoa utelezi wa kutosha?Ukizungumzia lubricant Hapo sawa uko safe
Kipi kinakauka haraka ? Kuliko mwenzakeAnd what if, uke ulichezewa vya kutosha na kutoa utelezi wa kutosha?
Sijaelewa, nifafanulie swali.Kipi kinakauka haraka ? Kuliko mwenzake
Kivipi?nikifikiria dunia huagasipati jibu yaani mpaka nadataaa
Siku moja tu mkuu.![emoji23][emoji23][emoji23]Kwani toka mtu aambukizwe anaanza ona dalili baada ya muda gani?
Mambo matamu yote matamu kuna shida yake daaahKivipi?
Kabisa, ila ni Wamarekani ndio wamesababisha hili. AIDS.!!Mambo matamu yote matamu kuna shida yake daaah
HIzi zote ni tamaa na maasi ya binadamu yanasababisha yoteKabisa, ila ni Wamarekani ndio wamesababisha hili. AIDS.!!
Hahaha, mkuu nafanya ila....sio hovyo tena!Kwa hiyo hufanyi mapenzi sio?
Kinga ndo nn?Helloooowww, to everyone here.
Watu wengi hawaamini maisha anayoishi mtu kwa kuwa anaongea kiingereza na anaonekana msomi. Wengine tumeamua kuwa real na ku fake kwetu ni MWIKO. Kama sina nitasema sina.
Kama nimekula kisamvu nitasema kisamvu na sio nyama. Slogan yangu ni 'no faking'.
Niende kwenye mada, UKIMWI upo tuache ngono zembe.
Tutumie kinga kwa usahihi.
Asubuhi njema.
Sasa je, kama huo ugonjwa kakuletea mke wako???Kinga ndo nn?
kinga ni kuacha ZINAA acheni ujinga wa kupenda ZINAA na mtatafuna njugu kwa wingi tu
Kukata ringi maana yake ni nini?
[emoji23][emoji23][emoji23] utakosa watoto au utashindwa kumridhisha mkeo.Sabuni haijawahi niangusha