kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,180
- 1,599
Helloooowww, to everyone here.
Watu wengi hawaamini maisha anayoishi mtu kwa kuwa anaongea kiingereza na anaonekana msomi. Wengine tumeamua kuwa real na ku fake kwetu ni MWIKO. Kama sina nitasema sina.
Kama nimekula kisamvu nitasema kisamvu na sio nyama. Slogan yangu ni 'no faking'. Niende kwenye mada, UKIMWI upo tuache ngono zembe. Tutumie kinga kwa usahihi.
Asubuhi njema.