kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,180
- 1,599
- Thread starter
- #61
So umeuza sana match mkuu?Hahaha, mkuu nafanya ila....sio hovyo tena!
So umeuza sana match mkuu?Hahaha, mkuu nafanya ila....sio hovyo tena!
Atajua mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23] utakosa watoto au utashindwa kumridhisha mkeo.
Tecno Camon 12 ilikuwepo 90's au sijakuelewa?Hii picha imenitafakarisha sana, japo nilishaamua kuavhana na mambo ya ngono lakini kuona picha za 90s inaogopesha sana. Picha za namna hii tulishazisahau.
Not cool bro!"mimi huwa situmii condom nakulaje pipi na maganda yake namuandaa vizuri sana mpka analoa "
Baada ya mda kupita View attachment 2225309
Why broski ?Not cool bro!
Kinyamkela mahaba kawa kinyamkela AIDS..[emoji23]
Muombe Mungu upate mwenza muaminifuSasa je, kama huo ugonjwa kakuletea mke wako???
[emoji23][emoji23]Ahsante kwa Kunikumbusha Mkuu, Hapa penyewe kuna demu alikuwa anajilengesha kabiomba ten anataka akanunue sijui kitu gani nimeahirisha. Ahsante saba Mkuu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]"mimi huwa situmii condom nakulaje pipi na maganda yake namuandaa vizuri sana mpka analoa "
Baada ya mda kupita View attachment 2225309
Wewe wa kike?Kuna mmoja nilimwambia tukacheki afya naona kanikalia kimya.[emoji1787]..
Ni bora nibaki single.kuliko kuwa na mtu ambae hana uhakika na afyaa yake[emoji35]
[emoji23][emoji23] hao wakurugenzi ni bosses zako? Ulikwenda huko mkoani kwao kikazi ndipo ukashauriwa hayo?Hapo ni mwendo wa Kupiga kwa Dume. Jana nimekula manzi ya Ki iraki daah niishie tu hapo nawashukuru wakurugenzi (ancestors) kwa kunikumbusha kuvaa Dume
Ni sawa.!Muombe Mungu upate mwenza muaminifu
Twende tukapime..[emoji23][emoji23]Kuna mmoja nilimwambia tukacheki afya naona kanikalia kimya.[emoji1787]..
Ni bora nibaki single.kuliko kuwa na mtu ambae hana uhakika na afyaa yake[emoji35]
Basi usile vizuri wala usifanye mazowezi Kama wwe mzima utaishi vizuri tu!!Hapana, mimi ni mzima wa afya.
UshaendaKuna mmoja nilimwambia tukacheki afya naona kanikalia kimya.[emoji1787]..
Ni bora nibaki single.kuliko kuwa na mtu ambae hana uhakika na afyaa yake[emoji35]