DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,490
- 83,698
Wabongo 60% so play safeHapana! Hao wanaomeza njugu ni akina nani?
Wabongo 60% so play safeHapana! Hao wanaomeza njugu ni akina nani?
Kwa hiyo hufanyi mapenzi sio?Hii picha imenitafakarisha sana, japo nilishaamua kuavhana na mambo ya ngono lakini kuona picha za 90s inaogopesha sana. Picha za namna hii tulishazisahau.
Ila malaya wanajilinda sana, hasa Wahayyer!!Wabongo 60% so play safe
Hamna, unapiga juu juu na unahakikisha huzamishi yote, pia asiwe dry sana. Na ukitaka kukojoa chomoa kojolea juu ya msambwanda wake.Unaazaje kupiga peku lijanamke ambalo hata haulijui hali yake ya kiafya? Si ni bora nijiunge na chama pendwa cha chaputa
Mkuu hiyo ni guess workHamna, unapiga juu juu na unahakikisha huzamishi yote, pia asiwe dry sana. Na ukitaka kukojoa chomoa kojolea juu ya msambwanda wake.
Umeenda kwenye mada tayari?Helloooowww, to everyone here.
Watu wengi hawaamini maisha anayoishi mtu kwa kuwa anaongea kiingereza na anaonekana msomi. Wengine tumeamua kuwa real na ku fake kwetu ni MWIKO. Kama sina nitasema sina.
Kama nimekula kisamvu nitasema kisamvu na sio nyama. Slogan yangu ni 'no faking'.
Niende kwenye mada, UKIMWI upo tuache ngono zembe.
Tutumie kinga kwa usahihi.
Asubuhi njema.
sio kujisahaulisha...sema tuu ukweli pale kati patamu nyama kwa nyamaTunajua sana ila kujisahaulisha tu🙄
Kivipi?Mkuu hiyo ni guess work
Hapo juu wapi?Acheni ngono zembe, lakini pia kuwe na commitment kwa watu wawili waliaomua kuhusiana.
All in all hapo juu, bado sio guarantee ya kutopata Ukimwi. Hapa ndo linapokuja suala la kuwa na positive psychology wakati wote.
Bora umeachana nayoHii picha imenitafakarisha sana, japo nilishaamua kuavhana na mambo ya ngono lakini kuona picha za 90s inaogopesha sana. Picha za namna hii tulishazisahau.
Unadhani kuchubuka mpaka damu au ngozi itoke?Hivi kama analoa unapataje maambukizi sasa??
Sure, ila je kama alitumia lubricants?Unadhani kuchubuka mpaka damu au ngozi itoke?
Umetumwa?Helloooowww, to everyone here.
Watu wengi hawaamini maisha anayoishi mtu kwa kuwa anaongea kiingereza na anaonekana msomi. Wengine tumeamua kuwa real na ku fake kwetu ni MWIKO. Kama sina nitasema sina.
Kama nimekula kisamvu nitasema kisamvu na sio nyama. Slogan yangu ni 'no faking'.
Niende kwenye mada, UKIMWI upo tuache ngono zembe.
Tutumie kinga kwa usahihi.
Asubuhi njema.
HuendaUmetumwa?
By the way unayo nafasi hebu karibuPole sana mkuu kula vizuri ,fanya mazoezi,utaishi kwa matumaini