Brother Mo Dewji, seriously??

MBONA KUNA WATANZANIA WEUSI KIBAO WANA MAKAMPUNI LAKINI TOP EXEC WOTE NI WEUSI HAWAJAWAAJILI WAHINDI LAKINI WAHINDI HAWALALAMIKI?

NINAVYOAMINI MIMI MO ASINGEFIKA HAPO ALIPO KAMA TOP EXEC WOTE WANGEKUWA WEUSI
BELIEVE ME OR NOT
 
Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
Unataka wamuoe Dada yako au mama yako mdogo?nipo hapa Mimi bachela
 
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.

Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.

Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)

This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Katika orodha ya vyeti feki umemkuta muasia yeyote ?
 
Juzi tu hapa tulikuwa tunamtetea TAPELI Yusufu Manji mpaka povu linatutoka, tena yeye Kaimport kabisa ma EXECUTIVES toka INDIA ambao hawana hata WORKING PERMITS lakini tumemporomoshea MATUSI Mazito AFISA UHAMIAJI Kwa kuwakamata leo mnakomaa na Mo. Mibongo/Mijitu myeusi haijielewi na hata watu weupe wote wanalijua hilo maana hayajui hata yanataka nini !
Bahati mbaya na ww ni libongo
 
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.

Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.

Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)

This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
kaka usimpangie cha kufanya, madhali si mtumishi wa serikali usimpangie mwenzio cha kufanya.

mbona haujaanzisha thread kumlaumu R. Mengi kujaza wachaga wengi IPP Media??
 
Picha hiyo hapo
 
Attachments

  • IMG-20170509-WA0060.jpg
    IMG-20170509-WA0060.jpg
    62.9 KB · Views: 39
Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
Chawa wanawasha jamani
 
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.

Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.

Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)

This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Siku zote ukiwa mbaguzi utatizama kila jambo kibaguzibaguzi tu!. Na usipoona viashiria vya ubaguzi kwa kuwa wewe mwenyewe ni mbaguzi, basi vile vimelea vya ubaguzi vinaweza kukusukuma Katika kujibagua.
 
Nmeona ni kwel. Anaubuguz kumbe huyu bwana wakati pesa anachuma kwetu. Achen kumbe Rais awanyooshe.
 
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.

Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.

Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)

This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Labda ilifanyikia India
 
Ubaya anao utendea nchi yetu, 40 yake iko mlangoni! Na wewe kibaraka kuwa mzalendo, duh! Unatia aibu!
Watu wamekalia ohh tz tajiri...tajir mav ya kuku..watu tumekalia mali,madini hatuchimbi,ardhi hatuilimi,mito ,maziwa bahar hatutumii,mbuga zimelala af mnakuja kumwombea njaa Mo...mfano mi nimehangaika na eneo moja lenye industrial minerals,lesen tuu ya uchimbaji,hizo changamoto nilizopata,.nmejuta,namii ni mtanzania halisia kabsaa,.yan watu wakiona unawekeza yan wanataka matatzo yao yoote utatue wew.hiz ardhi za vijij jaman umiliki wake urud serikal kuu tuu.
 
Back
Top Bottom