Brother Mo Dewji, seriously??

Brother Mo Dewji, seriously??

MO anajiona mighty, but he shall fall too! Mama Tanzania amewachoka matapeli kama hawa!
Ni akili za kipimbi kufikiria kwamba ipo siku Mo Dewji ataishi maisha ya kuboom kama wewe na atahama Masaki na kuhamia Tandika. Huu ni upuuzi wa kiwango cha PHD.
 
This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Diversity my ass, toka lini gabacholi akakuona wewe wa maana, mpaka hii leo wangapi katika hao magabacholi wenye hela wameoa mswahili au mbantu?! Wako tayari hata kuleta mchumba toka nchi za mbali ili uhindi uendelee, wanachopenda kwako mtu mweusi ni nguvu zako, pesa yako BASI! Wakiwa na makampuni kama hivi, post zote za juu ni magabacholi wenzao, haijalishi hata kama sio raia..
Karibu frauds zote nchini lazima gabacholi ahusike kwa njia moja au nyingine, wamezaliwa hapa ila kuchanganya damu nasi sahau, au kutuheshimu sahau, wanaishi kwenye dunia yao hapa hapa TZ, kwa kweli wametuweza..
 
hivi unaweza kufungua company india na usiweke muhindi kwenye top management?? hata accountant ??? h ha ha
Usichokijua ni kua yule sio muhindi,yule ni mtanzania ,sasa nashindwa kukuelewa ulichoandika,.kufungua kampun india manake nin,na inaingiliana vp na Mo
 
Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
Hiyo ni asili yao toka enzi za mababu wako hiyo. India wanao mfumo wa caste ambao umetenga jamii katika makundi. Kuna shudra,ibrahimin na mengine mawili. Kuna kundi la mabwana mkubwa wa kati na watwana na hawaoleani. Hivyo ubaguzi hawajaanza Tanzania waelewe hivyo.
Kwa kuwa huo ubaguzi haupo kwenye damu ,bali ni kwenye mazingira,wapo wahindi wenye kujichanganya.
 
Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
Hata sisi wenyewe kwa wenyewe huwa tunabaguana sijui USIOLEWE NA MHAYA, MARA MCHAGA MARA MKURIA, Kama sie kuna makabila hatuyataki kuna tatizo gani kwa wao kukataa weusi?? Tena heri ya sie weusi utamaduni wetu mwingi wafanana, tofauti na mdosi akaolewe na msukuma umwambie asonge ugali ndoa itakuwa ngumu kwake Zaidi..KWAHIYO KAMA SIE TUNAVYOBAGUANA KWENYE MAKABILA SIONI TOFAUTI KWAO, Japo wapo wahindi wachache walooa na kuolewa na weusi.
 
Fanya kaz ,tumia akil,acha lawama,.kutapeli nayo ni akili,boya hawez na hana guts.
Ubaya anao utendea nchi yetu, 40 yake iko mlangoni! Na wewe kibaraka kuwa mzalendo, duh! Unatia aibu!
 
Ni akili za kipimbi kufikiria kwamba ipo siku Mo Dewji ataishi maisha ya kuboom kama wewe na atahama Masaki na kuhamia Tandika. Huu ni upuuzi wa kiwango cha PHD.
For your information yeye ni jirani yangu! Kibaraka, mtu mzima ovyo kabisa!
 
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.

Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.

Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)

This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Hii ni moja ya sababu hana mtu mweusi ata mmoja huyu jamaa namkubali sana wanasemaga hivi honest is an expensive thing dont expect it from cheap people
 
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.

Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.

Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)

This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Tupia hiyo picha hapa tumchambe!
 
beafe4a75a9f597ab3caba244fd110ef.jpg
 
Sasa maskini ukute yeye hata hakujua kama kuna keki. Wamejichanga mabaijan wakapeleka keki kumpongeza. Ukute watz wakaona haina maana. Kuna possibility nyingi sana
 
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.

Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.

Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)

This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY

Wewe ulijuaje kama wote ni waasia? Wewe ndio mbaguzi. Vitu vingine si qualifications ni trust. Inabidi inner circle yako iwe ni ya watu unaowaamini.
 
kuna tofauti ya waasia na wenye asili ya asia, read between the lines
 
Mwacheni ashereke na ndg zake au nyie mlitaka mualikwe ....
Tusubiri bday wa king of dar wote tutakaribishwa

Ova
 
Habari yako haina mashiko, hata kapicha hakuna.
 
Back
Top Bottom