Brother Mo Dewji, seriously??

Brother Mo Dewji, seriously??

kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.

Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.

Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)

This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Arabs and Black are good for nothing more than making noise and blaming!!...



From Benjamin Netenyau
Na ndo nachokiona apa
 
Shida iko wapi? Mbona MO dewji anaish vema na sie watanzania wenzake.
 
h

Hivi nyie mnaolalamika mmeajiriwa na Mo? Mambo ya ngoswe muachieni ngoswe mwenyewe kapalilieni mahindi kabla mvua hazikata msije lia njaa mkasema tena mbona Mo yuko dining table na wanawe tu wakati watoto wa jirani wanalia njaa
Vipi wewe mahindi yako ushayapalilia?
Wewe una undugu na mimi?
 
Mimi mweusi wa Tanganyika,sijawahi kuwa na urafiki na mzanzibari hata mmoja.
 
Haya mambo sidhani Kama ni ya kumlaumu MO maana hawa wenzetu ubaguzi uko damuni Ila sheria ndiyo inayotakiwa kusimamiwa na sisi wenyewe sheria zimefichwa matamko yako tu mitaani. Wizara ndiyo ya kutupia lawama . Nchini uingereza vipande vipande vya sheria ni sehemu ya annual training kwa waajiri na waajiriwa. Mfano recial and discrimination act ni lazima kila mtu aijue. Sheria zimechomolewa kwenye makabrasha ziko kwenye kuta za maofisi na hata makampuni yakitoa tangazo likaweka mtu mweupe tu challenge inawahusu.

Kuna upuuzi mwingi sana upo nyumbani na serikali inadhani haihusiki . Kuna watu wanalipwa tofauti kwa kuwa tu si wa asili hiyo. Kuna watu kwenye viwanda vya hao ndugu zetu mpaka mwaka Jana walikiwa wanaumia hadi kukatika vidole kazini wasijue pa kwenda kwa hiyo Mo akipata loop hole kwa asili yake ni lazima kampuni zake zituone mazombi.
 
MO kimwili yupo Tanzania Kiroho yupo India kibiashara yupo Mozambique ni ngumu kudondoka alishasoma alama za nyakati muda mrefu tofauti na Manji.
Tumeona mightys wakidondoka with a blink of an eye! Anyway ata jiju na Mungu wake!
 
Juzi tu hapa tulikuwa tunamtetea TAPELI Yusufu Manji mpaka povu linatutoka, tena yeye Kaimport kabisa ma EXECUTIVES toka INDIA ambao hawana hata WORKING PERMITS lakini tumemporomoshea MATUSI Mazito AFISA UHAMIAJI Kwa kuwakamata leo mnakomaa na Mo. Mibongo/Mijitu myeusi haijielewi na hata watu weupe wote wanalijua hilo maana hayajui hata yanataka nini !
Ni jambo la kufunga na kuomba Mwenye Enzi Mungu atufungue fikra zetu! Asante kwa kuliona hilo!
 
Najali maisha yangu na familia yangu bass. Waga cpendi kufuatiria maisha ya wengine.

Watanzania 2pige kazi 2ache kuongea sana na kufuatiria maisha ya wa2. Kila day Wahindi wahindi.waarabu waarabu wachina wachina dah.aise 2melogwa na nani jameni.

Maendeleo 2tayackia kwa wengine
 
Hapo sasa na sisi watanzania asili ni kufanya kazi kwa bidii...kutengeneza makampuni komavu...Then tunaajiri weusii tiii....kuanzia mioyon mpaka mwilini... Hiyo Issue ya Mo..iwe kama motisha ya sis kupambana na sio kulialia wala kulalamika
 
Wahindi wapo wachache, especially tz sio origin yao kama mtz mwenyewe, so brother mo dewji lazima awape watanzania nafasi


Akiwapa nafac watanzania atafilicka once.watanzania co wa2 wa kazi. 2napenda kufanyiwa kazi na kulalamika munoo mpaka inakera.
 
Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
Ukitaka watakuoa tu, we jipake poda.

Kazi tukipewa hatufanyi, mnadhani watu wanafungua biashara zao ili wamix race kama CCM wanavyomix gender EALA?
 
Mi mwenyewe nataka kuanzisha banda langu la juice ya miwa, nitaajiri wahindi watupu...nani anataka mibashite!
 
Fanya yako uwaite watanganyika kulalamika haukumalizi matatizo
 
Watanzania wabantu wengiiiii

Wavivu

Hawana mfichuo - haswa waliosoma ....

Wezi

Hawajitumi

Hawaaminiki


N.k.
 
Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
Ulishwahi mwona mhindi polis au mjeshi?
 
Back
Top Bottom