Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,755
Mtanzania ambae hawezi hata kuona risk ya kutokurepair gari ana akili gani hadi aalikwe kwenye party??[emoji17][emoji17][emoji17]wanashindwa kurepair hata gari na wanaendesha gari kama ng'ombe hadi linaua watoto wadogo wazuri malaika za Mungu!![emoji22][emoji22][emoji22]