mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,322
- 8,970
JF ndio chaka la wenye jinsia mnyumbulufu, watu wanabadilika jinsia kulingana na uelekeo wa wanajukwaahapana kuna mahali niliona unamwambia mtu utampelekea moto mpka akimbie, wakati mi najua madem ndo wanapelekewa hawapeleki waoπ
ndo maana tunaambiwa tusichukulie vitu serious,JF ndio chaka la wenye jinsia mnyumbulufu, watu wanabadilika jinsia kulingana na uelekeo wa wanajukwaa
Hakika Mfano Leo BICHWA KOMWE - anasema yeye ni demu ameiba mme wa mtu, kesho utamsikia anataka amle mtu kinyeo.ndo maana tunaambiwa tusichukulie vitu serious,
na anapenda vinyeo mno kuliko chakulaπ πHakika Mfano Leo BICHWA KOMWE - anasema yeye ni demu ameiba mme wa mtu, kesho utamsikia anataka amle mtu kinyeo.
Hili jukwaa lifungiwe
Huyo siyo braza ni pisi kuna uzi fulani walikuwa wanatoa experiences jinsi mimba changa inavyosumbuaMnafanya nini huko na braza Evelyn?
Wamemu apprehend pale Mount Zion city Leo jioni.Huyu mke mwenza wangu sijui katokomea wapi?
Alikuwa ananichamba sana lakini nilimnyoosha mpaka akaacha ndala.
Chanzo ni kumuibia mumewe Extrovert akawa na gubu mpaka leo.
Sijui kabadili ID au kabadili jinsia kawa ankali?
Haya mambo yanatafakarisha sana kwa sisi wenye akili.
W
Bring back Evelyn Salt.
Atakuwa labda katekwa na kupotezwa na maCCM, kama kawaida yao. Tuzidi kumuombea.Huyu mke mwenza wangu sijui katokomea wapi?
Alikuwa ananichamba sana lakini nilimnyoosha mpaka akaacha ndala.
Chanzo ni kumuibia mumewe Extrovert akawa na gubu mpaka leo.
Sijui kabadili ID au kabadili jinsia kawa ankali?
Haya mambo yanatafakarisha sana kwa sisi wenye akili.
Bring back Evelyn Salt.
Kama hii ni Kweli,basi tumekwishaWamemu apprehend pale Mount Zion city Leo jioni.
Evelyn salt ni brother kumbe?πHuyu mke mwenza wangu sijui katokomea wapi?
Alikuwa ananichamba sana lakini nilimnyoosha mpaka akaacha ndala.
Chanzo ni kumuibia mumewe Extrovert akawa na gubu mpaka leo.
Sijui kabadili ID au kabadili jinsia kawa ankali?
Haya mambo yanatafakarisha sana kwa sisi wenye akili.
Bring back Evelyn Salt.
Ni mdada wa makamo na ako na biashara zake mahalaAtakuwa kabdili jinsia, kawa na kende maana mdogo wangu Monetary doctor humwita bro.
Mbammizwa hatimaye mbamizwa ndege karudi secretarybird
Kumbe ni binti! Sasa Kwa nini mnamuita bro?Ni mdada wa makamo na ako na biashara zake mahala
π₯π₯Mbammizwa hatimaye mbamizwa ndege karudi secretarybird
Anapenda kujiweka kishkajiKumbe ni binti! Sasa Kwa nini mnamuita bro?
Akirudi jukwaani namtongoza πAnapenda kujiweka kishkaji
Mbn alishaandika Uzi wa kutafuta sugar daddy kipindi hiko 2013Akirudi jukwaani namtongoza π