Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

hongera mkuu ONTARIO tuko pamoja...I wish niwe na hivo vigezo vinavyotakiwa ili niwe miongoni mwa hao 300 wa mwanzo.
 
Wazo la kwanza

Ili kutusaidia kujua idadi kamili ya watu walio na interest na watahudhuria kwenye launching ya Jumamosi basi naomba utume ujembe mfupi kupitia PM yangu ukisema Nipo interested na nitahudhuria launching kisha weka namba ya simu ili secretary akupe maelekezo yanayofata
Ahsante boss na Mungu azidi kukubariki sana.
 
Ben T ALIYEKUAMBIA DECI HAWAKUFANYA BIDII NANI? HAKUNA JAMBO UNALOWEZA KUFANIKIWA BILA BIDII. HATA MWIZI ANA BIDII. TAPELI ILI AKUTAPELI LAZIMA AWE NA BIDII NA KUKUAMINISHA.. KAJIUNGE HALAFU UJE KUSIMULIA HAPA.
 
Hii tanzania hii...watu wameshaanza kupiga hesabu ya 65,000*300 sijui...kuna english medium school tena za kawaida sana ukienda kuchukua form ya mtoto wa baby class,,,form yenyewe 20k...interview 100k.

Sasa hapa watu wanaambiwa inabidi kulipia 65k watu wanaanza maneno.

Naomba kutoa ushuhuda niliwasiliana na jamaa fulani wa south wanatoa pia forex training nikawauliza gharama yao kama nikitaka online training jamaa wakaniambia watanipatia trainer ambaye nitakuwa naye kwa week moja kupitia whatsap na gharama yake ni 1k USD. ilibidi tu nikae kimya kwa kweli wala sikuendelea kuwasiliana nao.

Jamani watanzania tubadilike hakuna kitu cha bure bure bure duniani....training unapata bure unataka hata mtu atakayekuhudumia maji (au maji) nayo upewe bure...tafadhalini watanzania wenzangu.
 
Back
Top Bottom